Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,326
- 111,547
Asilimia kubwa ya Wanyarwanda wanaume ni warefu...
Wamependeza.hivi tz kuna wakaka warefu kama huyo mume?
Wamependeza.hivi tz kuna wakaka warefu kama huyo mume?
Nna futi 6.1 sina hakika km ananizidi bwana harusi. Sema nimeoa miaka 21 iliyopita. Mke pia ana futi 5.4. Mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka 20 kasoro,kwa sasa ananizidi urefu!Wamependeza.hivi tz kuna wakaka warefu kama huyo mume?
Wamependeza.hivi tz kuna wakaka warefu kama huyo mume?
Duh kweli wanyarwanda ni warefu,yaani pamoja na mimi kumwona Kagame ni mrefu kumbe madogo karibia wote wamempita??
Wapo aisee,kama yule anayejiita konki liquid.
Nna futi 6.1 sina hakika km ananizidi bwana harusi. Sema nimeoa miaka 21 iliyopita. Mke pia ana futi 5.4. Mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka 20 kasoro,kwa sasa ananizidi urefu!
Asilimia kubwa ya Wanyarwanda wanaume ni warefu...
Wapo umempenda pia? Au umependa urefu wake?
Na watz asilimia kubwa?
tupoWamependeza.hivi tz kuna wakaka warefu kama huyo mume?
Siyo kwamba umelowana..........Wakaka ni mahandsome, mate yamenitoka wallah
Nna futi 6.1 sina hakika km ananizidi bwana harusi. Sema nimeoa miaka 21 iliyopita. Mke pia ana futi 5.4. Mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka 20 kasoro,kwa sasa ananizidi urefu!
Vibamia
Yap nipoWamependeza.hivi tz kuna wakaka warefu kama huyo mume?
Ninavutiwa nao
sana imeniuma sana badala ya nikutombe mimi unataka hao watusiTena saaana, imekuuma ?