Ange Kagame Aolewa

Ange Kagame Aolewa

Nilikuwa na maana yangu kutaja Unyarwanda moja kwa moja na si Ututsi...

Jina lako linaniaminisha kuwa umeelewa

Wanyarwanda wengi ni wafupi tu kama waha ila ispokuwa watusi ndio warefu

Kubwa zaidi ukipata mtusi mzuri ni mzuri kweli kweli ila ukipata mtusi mbaya ni mbaya haswa meno kama mussa wa captain Phillips
 
Wanyarwanda wengi ni wafupi tu kama waha ila ispokuwa watusi ndio warefu

Kubwa zaidi ukipata mtusi mzuri ni mzuri kweli kweli ila ukipata mtusi mbaya ni mbaya haswa meno kama mussa wa captain Phillips
Wanyarwanda watusi wafupi pia wapo nimewaona sana wazuri na wabaya wapo.Kwa sura ni sawa ila shida ni kwenye tabia zao za wivu.
 
Harusi yale ilikua very private...

Husband and wife wote ni watu wa system...


Cc: mahondaw
 
Nna futi 6.1 sina hakika km ananizidi bwana harusi. Sema nimeoa miaka 21 iliyopita. Mke pia ana futi 5.4. Mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka 20 kasoro,kwa sasa ananizidi urefu!
Duuh na bado anakua!!
 
Back
Top Bottom