Tena unafanyiziwa kimya kimya hujielewi umedanja kwa ugonjwa gani? Kama wanavyofanya wachina wakikukuta na msichana waoHe he he he
Kwamba baba mkwe angemfanyizia??
Niliiona ile bustaniHahah bro mimi mzee baba mimi simkubali kiviile lkn kwny hili ntamtetea hajawahi kuwapa bata watoto wake za style hio.
Hivi bustani ya marehemu dada yake kule kwao uliiona mkuu?
Watamu wekea Stuli Mkapa hahaHio familia ikisimama na Mkapa sijui inakuaje aisee.
Dah kuna watu wanakula bata. Jamaa nilisikia ila kua kuna kipindi alifukuzwa home na jkHela zake tushazila sana enzi hzo mzee waziri wa mmbo ya ugaibun
Kuchkua madolari anafanya party regent kwenye majumba ya washkj
Mirj anajua kubang
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona siku Magu ameshinda kwny uchaguzi yule mtoto wa mkwere bonge akiwa kwny hio gari sijui ni lamborghini kama wanafanya drifting hivi akipiga makelele akisema Congratulation mr. Prezident Magu sijui Chadema nini.Kweli kabisa na hilo haliepukiki.
Nilisikia jk alimnulia mtoto wake lamboghini sijui ferrali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah jamaa atawazingua kichizi akiwauliza kwani mmeona mimi ni mtu mwenye mahitaji maalumu mpk mniwekee stuli hahah.Watamu wekea Stuli Mkapa haha
Mbona unajiuliza swali halafu unajijibu wewe mwenyewe? Huo urefu, hayo maumbo na sura amazing ndo vinawafanya watanzania wapagawe.Sijajua kwanini WaTz tunawapa thamani kubwa sana hawa watoto wa Kagame.
Wako kawaida kama wakwetu labda tu maumbo yao na urefu amazing
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshaozesha akubali matokeoDuh vp kwenye suala la kpeana haki ya msingi kwa familia mzee hpo ataingilia yaani kutaka kujua
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliiona inafanana na dada wa rais mkuu?Hio inakuonyesha nini boss?Niliiona ile bustani
Afu mkuu kumbe hujaelewa nilichoandika. Sio kwamba jiwe ndie alimtuma a record ile video au alipendezwa nayo
Zile zilikuq kqma laki 3 hivi. Sasa mkuu hiyo ni pesa nyingi kwa mtoto wa rais ? Hela ya kawaida hata mtoto wa mtanzania wa kawaida anapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhaa umejuaje
Jamaa lazima ndy mtu wa kwanza kufungua sealed maana mtoto hajaguswa ni 0 km
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha haNiliona siku Magu ameshinda kwny uchaguzi yule mtoto wa mkwere bonge akiwa kwny hio gari sijui ni lamborghini kama wanafanya drifting hivi akipiga makelele akisema Congratulation mr. Prezident Magu sijui Chadema nini.
Jiwe akamchek akasema hiiiiiiiiiiiiiiii,yaya gete we dogo hunijui ngoja niingie.
Mkuu ile bustaniUliiona inafanana na dada wa rais mkuu?Hio inakuonyesha nini boss?
Laki 3?aaaeh mi nikajua anamwaga madolali kama wakina mayweather aisee, ila bado hio tabia ya kuonyesha mpunga hadharani sijui ameitoa wapi sio kwa malezi yale ya kikamanda.
Kwa kweli kwny kutumia mkwere hajawahi kua na noma na watoto wake.Ha ha ha hawale madogo wanavaa suti kali mno, ambazo hata mtz mwenye mshahara wa mil 2 havai.
Ila kwenye life la mkwere nimejifunza kitu.na mm ntazitafuta sana madogo waje wale bata
Sent using Jamii Forums mobile app