Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

Namkipataa mshukuruni KWA tigopesa ama mpesa sio ahsante za mdomoo

Hapakazi tu
 
[QUOTE="Rugby U


TANGAZO LA KAZI



Uongozi wa shule ya Sekondari ya Wasichana Bweranyange unatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo:-


1. Muuguzi (Nurse) – nafasi moja

2. Mkutubi (Librarian) – nafasi moja


Maombi yote yatumwe kwa KATIBU MKUU, KKKT – DAYOSISI YA KARAGWE, S.L.P.7 KARAGWE. Emai:gsecretary@kad.or.tz

Barua za maombi zipitie kwa viongozi wa Dini/Dhehebu. Mwombaji awe na sifa pamoja na ujuzi wa kazi anayoomba, vivuli vyote vya vyeti viambatanishwe kwenye barua ya maombi. Muuguzi kwa upande wake atapaswa awe na uwezo wa kulea wanafunzi (matroni).


Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30.06.2016.


KARIBUNI
 

Make this weekend more useful find new job opportunities in Dar es Salaam here: Current Openings - KaziniKwetu
 
Reactions: me1
'Asant kwa maelezo mazur sana
 
'Asant kwa maelezo mazur sana
 
Habari zenu Jamani naombeni msaada ni kwa namna gani naweza kuweaka tangazo langu la kuomba kazi humu ndani na nina account tayari lakin sijui jinsi ya kupost tangazo lakazi
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…