Angalizo,Uzoefu wangu kuhusu biashaza za mtandaoni (wanaita online busines)

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
Habarini wanajamvi..
Wakongwe na wageni japo hakuna atakaye kuitwa mgeni
Ninaomba tupeane uzoefu kwenye hii biashara ambayo watanzania wengi wanaifanya kunadi biashara zao na kuuza kwenye hasa Kule instagram* Facebook nk . ninaimani kubwa sana ulishapitia kununua chochote kile kupitia hasa Instagram.. Au facebook either brand new or second end...
Uzoefu wangu.
UBORA. Waliowengi wanatumia ujanja mkubwa kukuaminisha kile kitu nikizuri sana nakukupiga picha kwenye vizulia ili vivutie.. Lakini ukija kukiona in reality sio kile ulichokiona wala kukilipia kina ubora wa chini kabisa na hafifu au ni vitu viwili tofauti kachukua picha kwingine kapost ili kinunuliwe tu.
UDANGANYIFU.
Wengi wa hawa wauzaji hutafuta bidhaa zile original nakuzipiga picha au Kutumi hizo brand kumbe ni fojari mfano ataonesha nguo nzuri mnoo ukinunua akileta ohh ni different kabisa... Na wanasisitiza delivery free hivyo unalipia hela ukiletewa sio size unayoitakaau sio ubora ule ulioudhania. Au ni kitu tofauti kimuonekani .na sio ubora ule anaousifia na bei anakupa ya original kumbe kile kitu ni feki.mfano huo hapo chini hiyo sio metro nilizonazo hizo ni feki kabisa sufuria za kawaida. Kuna siku nimeona kitu kizuri anatangaza kutoka uganda sijui kongo ukiona utapenda nikamwambia nielekeze ofisini oh hatuna ofisi tuna wadada wadelivery nikamwambia leta sehemu fulani,nikakuta ni mabidhaa ya mtumba ya hovyooo kabisa hakuna hata kimoja kilichopo kwenye picha anazoweka kule Instagram.. Alafu anadai hela ya delivery ametoka Mlandizi. Nk nk. Na nina mifano mingi mnoo ila nataka nipate pia uzoefu sababu hawa watu ni muhimu na kuna walio waaminifu ila sababu ya wengine kuletewa free kuokoa muda tumekuwa wanunuzi wao ila wengi watakuwa wamelizwa pia..
ANGALIZO/USHAURI
kama unaweza fuata hizo biashara zilipo japo wengi wanasema ni online hatuna ofisi.. Usikubali kununua au kutuma hela yako kwa mtu hujakiona hicho kitu na ukahakiki ubora wake other wise unamjua na unamuamini. Maana hatarudisha pesa yako kirahisi...
Nawasilisha.. Ninahitaji uzoefu wenu wandugu
Screenshot_2018-08-15-12-21-10-74.png
Screenshot_2018-08-21-19-46-58-36.png

Nawasilisha.. Ninahitaji uzoefu wenu wanduguView attachment 843428View attachment 843426View attachment 843428View attachment 843426
 
Kwanza bongo hatuna mfumo mzuri wa kufanya malipo kama wenzetu kama paypal pia bidhaa za wenzetu nakuwa na maelezo ya kutosha kama material ya jeans sio original au orinal unaandikiwa na kweli ukiupata mzigo vile vile kwa bongo ni vizuri ufanye biashara na mtu wa mkoa mmoja mana wengi njaa
 
Habarini wanajamvi..
Wakongwe na wageni japo hakuna atakaye kuitwa mgeni
Ninaomba tupeane uzoefu kwenye hii biashara ambayo watanzania wengi wanaifanya kunadi biashara zao na kuuza kwenye hasa Kule instagram* Facebook nk . ninaimani kubwa sana ulishapitia kununua chochote kile kupitia hasa Instagram.. Au facebook either brand new or second end...
Uzoefu wangu.
UBORA. Waliowengi wanatumia ujanja mkubwa kukuaminisha kile kitu nikizuri sana nakukupiga picha kwenye vizulia ili vivutie.. Lakini ukija kukiona in reality sio kile ulichokiona wala kukilipia kina ubora wa chini kabisa na hafifu au ni vitu viwili tofauti kachukua picha kwingine kapost ili kinunuliwe tu.
UDANGANYIFU.
Wengi wa hawa wauzaji hutafuta bidhaa zile original nakuzipiga picha au Kutumi hizo brand kumbe ni fojari mfano ataonesha nguo nzuri mnoo ukinunua akileta ohh ni different kabisa... Na wanasisitiza delivery free hivyo unalipia hela ukiletewa sio size unayoitakaau sio ubora ule ulioudhania. Au ni kitu tofauti kimuonekani .na sio ubora ule anaousifia na bei anakupa ya original kumbe kile kitu ni feki.mfano huo hapo chini hiyo sio metro nilizonazo hizo ni feki kabisa sufuria za kawaida. Kuna siku nimeona kitu kizuri anatangaza kutoka uganda sijui kongo ukiona utapenda nikamwambia nielekeze ofisini oh hatuna ofisi tuna wadada wadelivery nikamwambia leta sehemu fulani,nikakuta ni mabidhaa ya mtumba ya hovyooo kabisa hakuna hata kimoja kilichopo kwenye picha anazoweka kule Instagram.. Alafu anadai hela ya delivery ametoka Mlandizi. Nk nk. Na nina mifano mingi mnoo ila nataka nipate pia uzoefu sababu hawa watu ni muhimu na kuna walio waaminifu ila sababu ya wengine kuletewa free kuokoa muda tumekuwa wanunuzi wao ila wengi watakuwa wamelizwa pia..
ANGALIZO/USHAURI
kama unaweza fuata hizo biashara zilipo japo wengi wanasema ni online hatuna ofisi.. Usikubali kununua au kutuma hela yako kwa mtu hujakiona hicho kitu na ukahakiki ubora wake other wise unamjua na unamuamini. Maana hatarudisha pesa yako kirahisi...
Nawasilisha.. Ninahitaji uzoefu wenu wanduguView attachment 843428View attachment 843426View attachment 843428View attachment 843426
 
Kuna wachache waaminifu niliagiza aircooler instagram ile ya kutumia maji ikaja kama ile ile then nikalipa pesa
 
Back
Top Bottom