Angalizo: TBS na rushwa ya ngono katika usaili

Angalizo: TBS na rushwa ya ngono katika usaili

APICHO MKWELI

Member
Joined
Nov 3, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Hivi karibuni shirika la viwango Tanzania(TBS) limefanya usaili wa waombaji nafasi za kazi kama ilivyotanganzwa ,cha ajabu tuliofanya vema tumeachwa ktk shortlist, wamechaguliwa watu kwa kujuana na wengine waliokwisha toa rushwa ya ngono kwa wakurugenzi na baadhi ya wahojaji. Tunaomba vyombo husika vifuatilie ufaulu wa wasailiwa.

Mkweli.
 
mkuu hiyo ni kawaida poleni dada zetu mnaojigeuza na kuwa makahaba . jiulizene wangapi wameshagegeduliwa na wakapotezewa . jitambueni.
 
Balaa tupu! Utu na ubinadamu vimebaki kuwa historia miongoni mwa wa watanzania wengi, maadili ya babu zetu sasa zatiwa kapuni, na wala hakuna anayethubutu kuziendeleza, pia hata hofu ya mwenyezi mungu sasa nayo imepungua, watu wanafukuzana kutenda dhambi na uhalifu wa kila namna ili tu wapate kuziridhisha nafsi zao huku wakiangamiza maelfu. Hii ndiyo tanzania ya leo, maskini hathaminiwi tena, watawala na wenye navyo leo ndio habari inayozungumzwa mjini, makabwela ili kupata haki yao ni lazima kitu kidogo, ahaaha! Nauliza watanzania wenzangu hii habari ya kitu kidogo ililetwa na pepo za kutoka upande gani? Mara utasikia oh niandalie maji ya kunywa je? Haya maji wanataka lita ngapi?
Watanzania tubadilike, tuache ujanjaujanja na wizi, uonevu, rushwa pamoja na tabia zingine chafu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom