Angalizo na ushauri muhimu

Preach what you practice Weye kidudumtu uso haya wala soni tuwekee ile link ya utapeli la sivyo tuprove uchimvi na uongo wako
Qur'an 2:
4. Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo.
Maelezo
 
Kenya hiyo..ulizia uhalisia wake sasa
 
Kuwa mganga hakukufanyi uwe na sura ya kutisha ama kujipaka marangi ya kutisha, most likely watu wa jinsi hiyo kwa asilimia Kubwa ni wapigaji
 
Watu hupigwa hapa unapeleka pesa ya chakula na jogoo wa mboga
 
[HASHTAG]#fact[/HASHTAG].....


Kwa hiyo unataka kusema kale kamsemo huwa anajisemea mwenyewe??[emoji1] [emoji1]

Kwa hapa simoo[emoji125]
[emoji15] [emoji3] [emoji102] [emoji115] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 

Safi sana dada faiza,unatisha!!!
 
Qur'an 2:
5. Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa.
Maelezo

Qur'an 2:
6. Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.
Maelezo
Nyoo kione kilivyokuwa kidogo kama piriton..majigambo yote kwisha...umebaki Kunakili mistari mitandaoni ya tamaduni za watu
Nilisema Jana hutaweza kutuletea link ya utapeli wa mshkaji kiko wapi sasa...unafiki uongo na uzushi ndio zako ona unavyoumbuka na kujidhalilisha sasa
 

Qur'an 2:
7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.
Maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…