Angalizo na ushauri muhimu

Haya yote yamesababishwa na kumkosa faizafoxy!!.....pole sana mkuu,haya yote ni maisha na kuna siku yatapita wala usihofu mkuu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nani kakwambia nimemkosa faiza foxy?
 

mshana jr, wewe ndiye HR 666 ?
 
Hawa jamaa wana saikolojia ya hali ya juu. Watakudadisi ki ujanja ujanja utatoa stori yote bila hata kujitambua. Utabaki kusema huyu ndiye mwenyewe.
 
Uchawi nouma niliwahi kuibiwa baiskel nikaenda kwa mganga ili yule mwizi aonekane lakin kila siku mganga anapga kalendaa njoo kesho njoo kesho na kwenda huko nilikuwa natembeaà sanaa kama km 10. Siku. Ananiambiaa njoo kesho. Kesho naenda nafka ananiambiaa alikuja hapa umemchelewaa mpaka nikaachaa kwenda ilikuwa 2005 nilikuwa napga pre form one ndio niliiibiwaa baiskel home nikadanganya nimepolwa na watu wameshika visu ilikuokoa uhai nikawaachia baiskel
 

2005 form one... Hujambo mwanangu.
 
Bibi kuna kijana yupo kilwa buku mbili tu shida zako kwisha
 
Kuna baadhi hudhani kuwa tukiandika tunajiandikia tuu
Uzi wako una maana sana mkuu sema tu, humu JF kuna watu mbalimbali wengine ni watoto wa mama,hawajui life,ukiwa mchakalikaji au mjasiliamali msemo wa siku hizi,mambo kama haya yapo sana tunakumbana nayo sana,kabla ya service mtu anakuambia angusha laki5 bila ya hivyo movie hakuna.Uaangusha laki5 ukiwa na matumaini kumbe sinema yenyewe ni ya kihindi hamna kila kitu.
 
Ahsante kwa ufafanuzi. Nlidhani una Identities mbili kila moja na agenda zake. Avatar hiyo tumeizoea ni ya Mshana Jr.

Jioni njema.
Halafu wala sijawahi kumiliki ID mbili
 
Matapeli wengi ambao nnahisi wewe ni mmojawapo huwa hawadai pesa mbele, wakijifanya wao ni wasamaria wema.

Hata hili tangazo lako nnauhakika linakuzalia PM za wajinga ndiyo waliwao wengi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…