Ndugu wana jf.
Naandika haya nami nikiwa moja ya viongozi wa chaso, na kupenda kuwaasa viongozi wenzangu kuwa nimapema sana kwa viongozi hawa kutoa matamko kupitia sakata hili ili hali hawajajua kiini cha mgogoro ni nini. Nimesoma matamko haya yakionyesha kuegemea upande flani ila kwa bahati mbaya sijaona wakionyesha ushahidi na kuzungumza chanzo nini na kwasababu gani za msingi.
wengi tunaishia kujadili matokeo yaliyotokea na si kujadili sababu ni nin. Wengi tumekuwa tunafuata upepo na kujikuta tunatoa matamko kwa kuangalia nani kasema nini na anafursa gani na si uharisia wa mambo.
Hakuna dhambi mbaya kumtuhumu mtu kwa lengo la kumpoteza kisiasa ili ubaki kujiimalisha kwa malengo binafsi. Cha kusikitisha mtu akija na hoja ya kutofautiana na walio wengi ataonekana ccm, msalit, hata kuitwa mhaini. Ila cha kusikitisha zaidi nipale watu wanajenga chuki za waziwazi za kumchafu mtu na watu wanaona ila wanazidi kushabikia tu, mfano lema, ben, kilewo, nassari, yeriko mbana hawajachukuliwa hatua? Ushabiki wa nini?
mbowe anapotengeneza tuhuma kwa washindani wake hamuoni? Kawaambia wangapi kuwa ni wasaliti? Kwa hiyo kila anayetaka kugombea nae ni msaliti?
Hivi nikweli ule waraka wa kitila umebeba dhamira nzima ya usaliti? Hiyo ndio tatizo kubwa la kufanya viongozi wote kulishupalia? Mpaka slaa kwenda ziara kigoma kujihami kwa hilo? Huoni kunaajenda nyuma yake? Kama wameshamva uongozi swala la kuendelea kumchafua?
mbowe kashamuomba mabele marando na baregu wawasuruhi na zitto ila watu wanaendelea tu ma matamko ya kufuata wanachoambiwa na wakubwazao bila kuangalia uhalisia.
Chaso tutapoteza imani kwenye jamii siku ukweli ukiwa tofauti na jinsi wengi wanavyoshabikia kama timu za mpira. Tutaonekana wafuata upepo.
hatuna haja ya kuingia haraka bila ya kuwa na ushaidi wa kutosha.