Sakata la Nelson Okwa lingetokea Yanga Sc lingezungumziwa mwezi mzima na wachambuzi wa Mchongo

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,251
12,769
Baada ya tamko la kiungo wa Simba Nelson Okwa kutamka waziwazi kuwa "viongozi wanapanga kikosi na kumpa kocha awapange wachezaji."

NALIA NGWENA nimesikiliza wachambuzi wengi wa nchini baada ya hiyo kauli asilimia kubwa ya wachambuzi wamepuuza kauli ya Nelson Okwa.

Wengine wamesimama upande wa Simba SC na kusema kuwa "Hayo ni maneno ya mkosaji tu ndiyo maana kaamua kuichafua timu ya Simba SC."

Katika suala hili/sakata hili wachambuzi asilimia kubwa hawataki kujenga hoja na kufikiri nje ya box na hiyo ni kwa sababu wachambuzi wengi wanaongozwa na hisia na sio weledi katika uchambuzi wa mpira.

Nakumbuka sakata la Feisal Salumu na ishu ya ugali kwa sukari wachambuzi waliimba kila kukicha na wanaharakati wakawa wengi sana na hiyo ni kwa sababu tu ni Jambo ambalo limetokea Yanga SC.

Maoni yangu: Tumpotezee/tukubaliane na Nelson Okwa lakini hali halisi ndiyo hiyo aliyoizungumza bwana mdogo kuwa viongozi Simba SC wanapanga vikosi Hilo halipingiki.

Limezimika kwa haraka kwa kua Hilo Jambo halijatokea Yanga SC Ila Kama lingekua ni la Yanga wachambuzi wote wangeongea mwezi mzima.

Nawasilisha hoja.
 
Baada ya tamko la kiungo wa Simba Nelson Okwa kutamka waziwazi kuwa "viongozi wanapanga kikosi na kumpa kocha awapange wachezaji"

NALIA NGWENA nimesikiliza wachambuzi wengi wa nchini baada ya hiyo kauli asilimia kubwa ya wachambuzi wamepuuza kauli ya Nelson Okwa.

Wengine wamesimama upande wa Simba Sc na kusema kuwa "hayo ni maneno ya mkosaji tu ndiyo maana kaamua kuichafua timu ya Simba sc"

Katika suala hili/sakata hili wachambuzi asilimia kubwa hawataki kujenga hoja na kufikiri nje ya Box na hiyo ni kwa sababu wachambuzi wengi wanaongozwa na hisia na sio weledi katika uchambuzi wa mpira.

Nakumbuka sakata la Feisal Salumu na ishu ya ugali kwa sukari wachambuzi waliimba kila kukicha na wanaharakati wakawa wengi sana na hiyo ni kwa sababu tu ni Jambo ambalo limetokea Yanga Sc.

Maoni yangu :Tumpotezee/tukubaliane na Nelson Okwa lakini hali halisi ndiyo hiyo aliyoizungumza bwana mdogo kuwa viongozi Simba sc wanapanga vikosi Hilo halipingiki.

Limezimika kwa haraka kwa kua Hilo Jambo halijatokea Yanga Sc Ila Kama lingekua ni la Yanga wachambuzi wote wangeongea mwezi mzima.

Nawasilisha hoja.
Kweli kabisa, angelikomalia huyu jamaa Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga umbwa mkubwa huyo.
 
Mfa maji hakosi kutapatapa..mpira ni mchezo wa wazi...ongea kama mwanamichezo.

Back
Top Bottom