Angalizo kwa viongozi wa CHASO kutoa matamko kwenye sakata la Zitto na Mbowe

mayange

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
701
197
Ndugu wana jf.
Naandika haya nami nikiwa moja ya viongozi wa chaso, na kupenda kuwaasa viongozi wenzangu kuwa nimapema sana kwa viongozi hawa kutoa matamko kupitia sakata hili ili hali hawajajua kiini cha mgogoro ni nini. Nimesoma matamko haya yakionyesha kuegemea upande flani ila kwa bahati mbaya sijaona wakionyesha ushahidi na kuzungumza chanzo nini na kwasababu gani za msingi.
wengi tunaishia kujadili matokeo yaliyotokea na si kujadili sababu ni nin. Wengi tumekuwa tunafuata upepo na kujikuta tunatoa matamko kwa kuangalia nani kasema nini na anafursa gani na si uharisia wa mambo.

Hakuna dhambi mbaya kumtuhumu mtu kwa lengo la kumpoteza kisiasa ili ubaki kujiimalisha kwa malengo binafsi. Cha kusikitisha mtu akija na hoja ya kutofautiana na walio wengi ataonekana ccm, msalit, hata kuitwa mhaini. Ila cha kusikitisha zaidi nipale watu wanajenga chuki za waziwazi za kumchafu mtu na watu wanaona ila wanazidi kushabikia tu, mfano lema, ben, kilewo, nassari, yeriko mbana hawajachukuliwa hatua? Ushabiki wa nini?

mbowe anapotengeneza tuhuma kwa washindani wake hamuoni? Kawaambia wangapi kuwa ni wasaliti? Kwa hiyo kila anayetaka kugombea nae ni msaliti?

Hivi nikweli ule waraka wa kitila umebeba dhamira nzima ya usaliti? Hiyo ndio tatizo kubwa la kufanya viongozi wote kulishupalia? Mpaka slaa kwenda ziara kigoma kujihami kwa hilo? Huoni kunaajenda nyuma yake? Kama wameshamva uongozi swala la kuendelea kumchafua?

mbowe kashamuomba mabele marando na baregu wawasuruhi na zitto ila watu wanaendelea tu ma matamko ya kufuata wanachoambiwa na wakubwazao bila kuangalia uhalisia.
Chaso tutapoteza imani kwenye jamii siku ukweli ukiwa tofauti na jinsi wengi wanavyoshabikia kama timu za mpira. Tutaonekana wafuata upepo.

hatuna haja ya kuingia haraka bila ya kuwa na ushaidi wa kutosha.
 
Una mavi kichwani wewe .Unaongea nini na unamtuhumu Mbowe eti the same time .Umesha julikana na acha viongozi waongee nawe angalia tigo pesa umeshapata pesa kula leo .Viongozi wameamua kwa kukubaliana na Kamati Kuu mengine yatakuja baadaye .
 
Sidhani kama wewe ni kiongozi WA CHASO ,unaonyesha hujui chochote kuhusu CHADEMA unasemaje mbowe kasema Hawa ni wasaliti ilihali unajua ni maamuzi ya kamati kuu ya Chama???Alafu unasema Chaso wanapaswa kujadili chanzo kivipi?maamuzi ya Cc yajadiliwe na Chaso??? Wewe kweli Chadema???Ama mwanafunzi WA Chuo??? Maamuzi ya kamati kuu hayahadiliwe na chonbo kidogo kuliko Cc yenyewe kasome katiba
 
Na cha Muhimu zaidi.
Maamuzi ya kamati kuu,Sio ya Mbowe,Slaa kama watu wanavyotaka kuaminishwa!""
 
We ni -------- nahc hata kusoma kwako ni shida a.k.a mbulula, huu co ugomvi wa mbowe na Zitto bali ni Chadema na Zitto,
 
Ndugu wana jf.
Naandika haya nami nikiwa moja ya viongozi wa chaso, na kupenda kuwaasa viongozi wenzangu kuwa nimapema sana kwa viongozi hawa kutoa matamko kupitia sakata hili ili hali hawajajua kiini cha mgogoro ni nini. Nimesoma matamko haya yakionyesha kuegemea upande flani ila kwa bahati mbaya sijaona wakionyesha ushahidi na kuzungumza chanzo nini na kwasababu gani za msingi.
wengi tunaishia kujadili matokeo yaliyotokea na si kujadili sababu ni nin. Wengi tumekuwa tunafuata upepo na kujikuta tunatoa matamko kwa kuangalia nani kasema nini na anafursa gani na si uharisia wa mambo.

Hakuna dhambi mbaya kumtuhumu mtu kwa lengo la kumpoteza kisiasa ili ubaki kujiimalisha kwa malengo binafsi. Cha kusikitisha mtu akija na hoja ya kutofautiana na walio wengi ataonekana ccm, msalit, hata kuitwa mhaini. Ila cha kusikitisha zaidi nipale watu wanajenga chuki za waziwazi za kumchafu mtu na watu wanaona ila wanazidi kushabikia tu, mfano lema, ben, kilewo, nassari, yeriko mbana hawajachukuliwa hatua? Ushabiki wa nini?

mbowe anapotengeneza tuhuma kwa washindani wake hamuoni? Kawaambia wangapi kuwa ni wasaliti? Kwa hiyo kila anayetaka kugombea nae ni msaliti?

Hivi nikweli ule waraka wa kitila umebeba dhamira nzima ya usaliti? Hiyo ndio tatizo kubwa la kufanya viongozi wote kulishupalia? Mpaka slaa kwenda ziara kigoma kujihami kwa hilo? Huoni kunaajenda nyuma yake? Kama wameshamva uongozi swala la kuendelea kumchafua?

mbowe kashamuomba mabele marando na baregu wawasuruhi na zitto ila watu wanaendelea tu ma matamko ya kufuata wanachoambiwa na wakubwazao bila kuangalia uhalisia.
Chaso tutapoteza imani kwenye jamii siku ukweli ukiwa tofauti na jinsi wengi wanavyoshabikia kama timu za mpira. Tutaonekana wafuata upepo.

hatuna haja ya kuingia haraka bila ya kuwa na ushaidi wa kutosha.

mbwa mkubwa ww, unaijua chaso taahira ww, kaka ww kweli chaso tumia verified Id uone tunavyokutupilia mbali
 
TEAM ZITTO mnachekesha nyie.!!! Unaomba watu wasituhumiane wakati huo huo na ww unatuhumu. Jamani mbona mna akili ndogo hivi? Inawezakana hata Zito mwenyewe anawachekeni sana maana dhambi yake anaijua. Kwa kuwa mnaamini zito ni JEMBE basi mwambieni ajiondoe CHADEMA na akaanzishe Chama lake ili akawe mfano kwa jamii za kitanzania namna demokrasia ya vyama inavyatakiwa kuwa. Simple as that.
 
tatizo chadema family kujiona wana haki cku zote kuliko wengine ndani ya chama - kwa nn usipendekeze wanaomuona zzk ni mnafki wamsusie chama waende kusiko na unafki au kuanzisha wao kingine cha wasiowanafki!? sio undumilakuwili huu kwamba lema kuropoka kwenye media ni sawa, ila kwa mwenyekt wa CDM monduli anasimamishwa fasta uongozi!!
 
Mayange nadhani akili uliyotumia kuandika uliyoandika umeazima kutoka kwa mwanao kwa kuwa shule nyingi zimefungwa!
 
Kaka umeongea, big up!!! Hv ccm mmesahau 2010 Shibuda alivosema atapeleka jina kuwania urais pamoja na jk yaliyomkuta???? alitumwa sheikh atabiri kuwa atakufa ghafla, alipokomaa akanyimwa ubunge, maana kama angeshindwa kweli kura za maoni mbona alipita akiwa chadema tena bila kampeni? zzk alichofanya ni kibaya zaid, kuasisi siasa za makundi kama zile za magamba, ss kama mnaona ni jembe jiondoeni ccm mmuunge mkono muanzishe chama!!!!
 
ww hamnazo kweli!!!! wamwachie nani chama??? zzk na wengine ndo waondoke, chama chenye watu zaid ya million wamwachie msaliti msaliti mmoja mhuni? u cant be serious!!!
 
Nawe pia kama kweli upo CHASO unafaa kuondolewa! wenzako walipotowa tamko wewe hukuwepo kwenye hicho kikao? au ndon wale wale mnaozunguka watu mlango wa nyuma - wasaliti?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom