umemeza dawa zako leo?Ukichelewa kuwawahi wanamtandao (wahuni) akina kikwete na wenzake, watakuwahi wewe.
Kwasasa wanaweza kutokuwa na imani na ww baada ya taarifa isiyoeleweka kutoka JWTZ kuhusu captain Tesha, mgawanyiko wa Jeshini unaotokea ambao unakufanya ufikirie kuwaleta pamoja kwa kuwapa haki wananchi.
Walitegemea uwe unatoka adharani kama mkuu wa jeshi la polisi kutoa vitisho kwa raia kuhusu maandamano, hii kwao ndo ishara kuwa uko pamoja nao.
USIPOWAWAHI, WATAKUWAHI. CHUKUA HATUA HARAKA, HUSICHELEWE KAMA JPM WATAKUPOTEZA NA KUMUWEKA MTU WAO KAMA WA USALAMA WA TAIFA.
Nacheeeka!
Wahuni hawana adabu,ni bora waadabishwe kabla kukuendeleza uhuni wao!Ukichelewa kuwawahi wanamtandao (wahuni) akina kikwete na wenzake, watakuwahi wewe.