Angalizo: Joseph Kasheku Msukuma asisahaulike


Ipo siku mtahoji utajiri wake
 
Nyie wazee wa akili wa chama cha makinikia (ccm) mnamatatizo sana
 
Kweli Taifa Hili Linawatu Wapuuzi Sana .
Yani Mambo Yanayohitaji Utaalamu Halafu tumpeleke Standard Seven Yule Kisa Tu Anapata Nafasi Ya Kuongea Bungeni???

Ifike Mahali Watanzania Tujitathimini Na Kujitambua Vitu Tunavyohitaji Na Kuvipigania..
Mkuu rudia kusoma huu Uzi upya labda itaelewa kitu tofauti
 
Mkuu kuna ahadi ya NOAH ambayo sijaisikia nini nifumbue kidogo.
Mkuu wa kaya alisema madini tuliyoibiwa thamani yake inatosha kumununulia kila muTZ mwenye 15+ yrs gari aina ya NOAH
Ndio tunasubili tulipwe tupate hizo Noah,mi nimechagua nyeusi na iwe tinted,sport light nitafunga mwenyewe
 
Mkuu wa kaya alisema madini tuliyoibiwa thamani yake inatosha kumununulia kila muTZ mwenye 15+ yrs gari aina ya NOAH
Ndio tunasubili tulipwe tupate hizo Noah,mi nimechagua nyeusi na iwe tinted,sport light nitafunga mwenyewe
Ahaa duh sikusikia hiyo aisee ....
 
Kwa nature ya awamu hii ya 5 sishangai Msukuma kuwa think tank ya chama na serikali.
 
Nataka kujua yale mabas yaliyoandikwa musukuma ni ya kwake?? Kam ni yake bas watamrudisha tena bungen maana anavyowasaidia wasafiri njia ile ya Nyehunge mpka mwanza kila jumamosi aseeh anastahili pongezi,,ila tu kama ni yakwake
 
Msukuma na Lusinde ndo ma role modo wangu bungeni na ndo vichwa vyetu ccm kwasasa wasikose katika kamati hiyo ya Rais kwenda majadiliano ya akashia
 
Tatizo ni pale wanapoamini wasomi ndo kila kitu,chek Msukuma ni darasa la 7 lakini akili kubwa,wakati mwingine utendaji ni mtu kujua na kuyaishi yale anayoyatetea sema tu watu ni wabishi,wanawabeza eti watu ambao waliishia drs la 7.akili ya darasa la 7 la mwaka 90 kurudi nyuma siyo sawa kabisa na kidacho cha nne cha miaka hii ya chips yai
 
Hivi msukuma aliwahi japo kupitia kidogo kwa Ras Simba?
 
Msukuma
Lusinde
Prof. Maji Marefu na wale wa mama wa ccm wa bungeni wote wajumuishwe kwenye kamati hii.
Hizi Noah lazima tupate tu [emoji23] [emoji23]
Mi nimeisha weka na bajeti ya wese hapa nasubiria mambo yaive tu
 
Dah..na iwe iweje lakini mwisho wa siku nipate Noah yangu...usingizi sipati mwenzenuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
pamoja na elimu yake ya darasa la saba msukuma kawazidi wabunge wengi hasa wa ccm pamoja na madegree yao. kwa kweli geita wamepata mbunge jasiri. hongereni sana.
 

Kama ulikua unafuatilia siasa za kipindi cha uchahuzi uliopita utagundua kwamba Msukuma anamkubali Lowassa maana aliingia na helicopter yake pale Arusha,sasa hoja ikiwa nikwann hakumfiata upinzani pengine nikwasababu yeye ameona CCM bado sera zake ni rafiki kwake
 
Jamaa anaongea utafikili yale madoli yenye funguo kwa nyuma, unazungushaaaa weee ukija kuachia chamoto utakiona!!

Hahaaaa
Hebu tupia picha ya hilo limdoli maana sijawahi ona wala kisikia leo ndio mwanzo
Tena tupia likiwa na ufunguo wake ukiwa huna picha,muombe Mshana maktaba yake imesheheni mpaka mizimu ninaimani atakupatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…