ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Nyinyi nyote ni mashahidi jinsi kijana huyu machachari mwenye kujenga hoja za mashiko jinsi anavyotumainiwa na CCM haswa katika siku za karibuni,kila siku hupata nafasi za kuchangia and he never disappoints ,ushahidi ni jinsi wabunge wa ccm wanavyompigiaga makofi na vigelegele.
Alinifurahisha sana siku alipomuambia Msigwa akae kimya kuhusu mambo ya dhahabu sababu hajawahi kuiona yeye na Mnyika wanachojua ni nyanya na matofali,sitasahau wabunge wa ccm walivyolipuka kwa shangwe
Mheshimiwa Rais,huyu Messi wa CCM aka Msukuma katokea Geita kule keshazoea kuona hayo madhahabu tafadhali aongoze timu ya Tanzania katika majadiliano na hao wezi wa Accasia.
Mheshimiwa Rais,usibabaike na maprofesa na madokta ukawajaza kwenye timu kumbe hata dhahabu hawajawi ona
Msukuma oyeeeee,la saba oyeeeeee.