Angalieni PhD fake zinavyowaumbua

kosseyS

New Member
Sep 16, 2020
3
12
Utafiti wa ukweli utakaomwezesha mtu kupata shahada kubwa ya uzamivu (PhD)kamwe hawezi kuufanya na huku akifanya kazi ya uwaziri. Ina maana unamweka mtu akukusanyie data.

Kwa Wale mnaomkumbuka marehemu Edward Moringe Sokoine huyu aliacha kazi ya uwaziri mkuu akaenda iliyokuwa Yugoslavia kusomea degree ya UZAMII tu (Masters) lakini aliacha kazi.

Kwanza unapoanza kufanya utafiti ili mwisho uandike kitabu (THESIS) baada ya kuwa swali(Research Quotation) cha kwanza ukusanyaji wa data zako inabidi uwe na uhakika nao kwa hiyo huwezi kumwamini mtu akutafutie, kila kitu inabidi ufanye mwenyewe,sasa utakuwaje waziri na pia unaenda chaka kukusanya data? Kama siyo unatuma watu?

Tuache hayo, sifa ya mtu mwenye PhD:-
  • Siyo mtu wa kuyumbishwa yumbishwa kimawazo.
  • Siyo mtu wa kuamini vitu vya ovyo ovyo, mtu mwenye PhD ya ukweli hawezi kuipinga sayansi hivihivi tu kinadharia, hawezi kupima mapapai badala ya sample sahihi ya kupima COVID 99, hawezi kamwe kuamini mizizi ya Madagascar kama dawa ya kutibu CORONA.
  • Mtu mwenye PhD ya ukweli ni mahili mno wa kujenga hoja, hoja zake huwa zimeshiba kweli kweli. Huwa siyo mtu wa kukurupuka kwa sababu ili PhD yake itambuliwe na isajiliwe mwishoni huwa lazima awakilishe(dissemination) na pia atetee hoja yake (defend) kufanikiwa hayo huwezi kuwa mtu wa kukurupuka kurupuka mfano wasiopenda tozo wahamie Burundi. Usipojenga hoja jopo haliwezi kuikubali PhD yako utarudia weeeee hata mala kumi ndiyo maana Wasomi wa uzamivu huwa lazima kuwa makini sana kuepuka usumbufu wa kurudishwa rudishwa na jopo la wasimamizi (Supervisors). Hii ina maana mawaziri wanaosomea shahada ya uzamimivu kuna mahali wanapata shortcut hawapitii hatua hizo hapo nilizozitaja.
  • MsomajI wa PhD huzamilia haigi mtu ati fulani amepata PhD na mimi nipate, we angalia msululu wao ambao siwezi kuutaja, utaona tu wanaigana mfano wa mtu mmoja kwenye bus kaomba akachimbe dawa basi bus zima wanafuata, HAO NDIYO WASOMI WETU NA MAWAZIRI.
Wasomi wetu wa PhD wa hivi karibuni wengi wao ni mawaziri ni wapesi mno , siyo Intergent, hawawezi kutiririka kimawazo ( fullow) wanakwama sana hata kwa hayo waliyoyafanyia utafiti, wepesi sana wa kuomba title ya DOCTOR huwa hawawezi kusubiri wapewe.

Kama utabisha mchunguze tu mmoja wapo utabaini kasoro hizi.

Ninayeandika hoja hii PhD yangu niliipata mwaka 1972 mwezi March Propaganda Fide University Vatican city karibuni mnikosoe.
 
Subiri timu walamba asali waje wakupopoe za uso wakikwambia kuwa, "pambana na hali yako maana hakuna asiyependa vizuri/vitamu

TZ sihami ng'oo maana si kwa raha hizi
 
Tuache hayo, sifa ya mtu mwenye PhD:-

  • Siyo mtu wa kuyumbishwa yumbishwa kimawazo.
  • Siyo mtu wa kuamini vitu vya ovyo ovyo, mtu mwenye PhD ya ukweli hawezi kuipinga sayansi hivihivi tu kinadharia, hawezi kupima mapapai badala ya sample sahihi ya kupima COVID 99, hawezi kamwe kuamini mizizi ya Madagascar kama dawa ya kutibu CORONA.
  • Mtu mwenye PhD ya ukweli ni mahili mno wa kujenga hoja, hoja zake huwa zimeshiba kweli kweli. Huwa siyo mtu wa kukurupuka kwa sababu ili PhD yake itambuliwe na isajiliwe mwishoni huwa lazima awakilishe(dissemination) na pia atetee hoja yake (defend) kufanikiwa hayo huwezi kuwa mtu wa kukurupuka kurupuka mfano wasiopenda tozo wahamie Burundi. Usipojenga hoja jopo haliwezi kuikubali PhD yako utarudia weeeee hata mala kumi ndiyo maana Wasomi wa uzamivu huwa lazima kuwa makini sana kuepuka usumbufu wa kurudishwa rudishwa na jopo la wasimamizi (Supervisors). Hii ina maana mawaziri wanaosomea shahada ya uzamimivu kuna mahali wanapata shortcut hawapitii hatua hizo hapo nilizozitaja.
  • MsomajI wa PhD huzamilia haigi mtu ati fulani amepata PhD na mimi nipate, we angalia msululu wao ambao siwezi kuutaja, utaona tu wanaigana mfano wa mtu mmoja kwenye bus kaomba akachimbe dawa basi bus zima wanafuata, HAO NDIYO WASOMI WETU NA MAWAZIRI.
Uko sahihi kabisa. LAKINI kumbuka hapa ni Afrika and jiwe was consolidating power. Magufuli hakwenda kusoma PhD ili kuongeza knowledge for the unknown phonomenon aroud the worl, alienda ili "karatasi" la PhD limwongezee uwezekano wa internal recognition kupanda cheo na kuaminiwa. Siyo to invent/decipher knowledge ndiyo maana African scientists ni data collector na siyo researchers!
 
hawawezi kutiririka kimawazo ( fullow) wanakwama sana hata kwa hayo waliyoyafanyia utafiti, wepesi sana wa kuomba title ya DOCTOR huwa hawawezi kusubiri wapewe.
Mimi sina cha kukosoa maana sina hata shahada moj,ila nategemea kujifunza kutoka kwenu wenye shahada zenu.
naomba ufafanuzi wa hilo neno kwenye mabano.
 
Naomba ieleweke kuwa kusoma ni kuzuri,ila akili ya asili tusiibeze kamwe. Kwa wafuasi wa mambo ya ufundi kuna mvumbuzi wa diesel injini (mr.diesel mjerumani)hakuwa msomi. Lakini leo hii wasomi wanatumia elimu zao kuboresha alichokigundua. Bill gate ambaye amewahi kuwa tajiri namba moja wa dunia ni ''university drop out'' lakini ameajiri wasomi cream ya dunia wanamfanyia kazi.

Kwa kusema hivi simaanishi watu wasisome,na wala sidharau hoja ya mleta hoja hapana, ninachosema hapa,ni kwamba watu so called 'wasomi' mmetulisha matango pori sana na ndo maana watu wameamua kuamini waganga wa miti shamba kuliko ninyi. Marehemu Mrema(RIP) mimi sijui kiwango chake cha elimu,lakini toka ametolewa wizara fulani ya nchi, mimi sikuwahi kuona kama pengo lilizibika,na sikuwahi kusikia anajiita msomi.

Hivi kweli inaingia akilini, daktari bingwa aliyesomea udaktari wa kupasua kichwa, unampasuaje mgonjwa wa mguu kichwa kwa kisingizio kwamba umekuta nesi kashamuandaa. Na mgonjwa wa mguu anapasuliwa kichwa kwa sababu ya kizembe ya hapo juu? Una tofauti gani na kalumanzira ambaye anakupa dawa kwa kupima kwa macho.

Mpaka kesho namkubali rais marehemu maana mambo aliyoyashauri,walioyakataa huko duniani
leo wanapita humo humo.Mnaoendelea kuvaa mnachokivaa mna jambo lenu. Niwatakie mchana mwema,namimi naomba kukosolewa ila zingatieni mimi sina digree.
 
Hangaika na wale unaoanzia nao mwanzo wa njia, hao unaokutana nao katikati ya njia waache wapite kwani wanaweza kuwa misukule.
 
Ben Saanane aliwahi kuhoji kuhusu PhD ya Mwanasiasa fulani hadi leo hii hajulikani alipo.

Tahadhari tu, hata huyu mnayejaribu kumhoji ana ukwasi na uwezo wa kufanya Yale aliyofanyiwa Ben Saanane. Makinikeni naye.

Kwa maana ana ndoto ya kuwa namba Moja wa hii Nchi, hivyo atahisi kama mnataka kumharibia Kwa kuhoji kuhusu hiyo PhD yake.
 
Utafiti wa ukweli utakaomwezesha mtu kupata shahada kubwa ya uzamivu (PhD)kamwe hawezi kuufanya na huku akifanya kazi ya uwaziri. Ina maana unamweka mtu akukusanyie data.

Kwa Wale mnaomkumbuka marehemu Edward Moringe Sokoine huyu aliacha kazi ya uwaziri mkuu akaenda iliyokuwa Yugoslavia kusomea degree ya UZAMII tu (Masters) lakini aliacha kazi.

Kwanza unapoanza kufanya utafiti ili mwisho uandike kitabu (THESIS) baada ya kuwa swali(Research Quotation) cha kwanza ukusanyaji wa data zako inabidi uwe na uhakika nao kwa hiyo huwezi kumwamini mtu akutafutie, kila kitu inabidi ufanye mwenyewe,sasa utakuwaje waziri na pia unaenda chaka kukusanya data? Kama siyo unatuma watu?

Tuache hayo, sifa ya mtu mwenye PhD:-
  • Siyo mtu wa kuyumbishwa yumbishwa kimawazo.
  • Siyo mtu wa kuamini vitu vya ovyo ovyo, mtu mwenye PhD ya ukweli hawezi kuipinga sayansi hivihivi tu kinadharia, hawezi kupima mapapai badala ya sample sahihi ya kupima COVID 99, hawezi kamwe kuamini mizizi ya Madagascar kama dawa ya kutibu CORONA.
  • Mtu mwenye PhD ya ukweli ni mahili mno wa kujenga hoja, hoja zake huwa zimeshiba kweli kweli. Huwa siyo mtu wa kukurupuka kwa sababu ili PhD yake itambuliwe na isajiliwe mwishoni huwa lazima awakilishe(dissemination) na pia atetee hoja yake (defend) kufanikiwa hayo huwezi kuwa mtu wa kukurupuka kurupuka mfano wasiopenda tozo wahamie Burundi. Usipojenga hoja jopo haliwezi kuikubali PhD yako utarudia weeeee hata mala kumi ndiyo maana Wasomi wa uzamivu huwa lazima kuwa makini sana kuepuka usumbufu wa kurudishwa rudishwa na jopo la wasimamizi (Supervisors). Hii ina maana mawaziri wanaosomea shahada ya uzamimivu kuna mahali wanapata shortcut hawapitii hatua hizo hapo nilizozitaja.
  • MsomajI wa PhD huzamilia haigi mtu ati fulani amepata PhD na mimi nipate, we angalia msululu wao ambao siwezi kuutaja, utaona tu wanaigana mfano wa mtu mmoja kwenye bus kaomba akachimbe dawa basi bus zima wanafuata, HAO NDIYO WASOMI WETU NA MAWAZIRI.
Wasomi wetu wa PhD wa hivi karibuni wengi wao ni mawaziri ni wapesi mno , siyo Intergent, hawawezi kutiririka kimawazo ( fullow) wanakwama sana hata kwa hayo waliyoyafanyia utafiti, wepesi sana wa kuomba title ya DOCTOR huwa hawawezi kusubiri wapewe.

Kama utabisha mchunguze tu mmoja wapo utabaini kasoro hizi.

Ninayeandika hoja hii PhD yangu niliipata mwaka 1972 mwezi March Propaganda Fide University Vatican city karibuni mnikosoe.
PhD
 
Haya una phd umeifanyia nn nchi yako ambacho kina alama yako hadi sasa. Phd yako tanzabia kama nchi imefaidika nayo nini
 
Jamani humu ndani wakubwa kwa wadogo Amani iwe nanyi.
Naomba kuchangia Mada japo kwa kifupi,
Tatizo lililopo ktk nchi yetu ni mfumo mbovu wa ELIMU.
Ivi inakuaje MTU anaajiriwa halafu inakuja kubainika Kuwa anacheti feki?
Lkn pia ktk ofisi nyingi za umma, watu wengi Wana elimu ya janja janja (yaani namaanisha hawana maarifa ya kutosha kuhusu walichosomea).
Hivyo ili tuweze kutoka hapa tulipo tunahitaji MFUMO THABITI NA IMARA KUHUSU ELIMU YETU. Hi janja janja itakwisha kabisa.
Naomba kuwasilisha.
 
Walio kuwa na PHD na wasio kuwa nazo ili mradi wanajua kusikiliza na kuandika wote sawa nchi hii.

Tuna kiwango cha wajingana wapuuzi nchi hii .ndio maana tunaogopa hata kutibiwa na daktari wa tanzania tukikimbilia nje.tulishajua ni wajinga wengi wa shortcut
 
Back
Top Bottom