Jana nilikuwa nimebana kwenye corner moja pale starbucks na piga coffee, mara wakatokea wasichana wawili waka kaa karibu na pale nipo mimi kwenye meza ya pili...wakanza kupiga kizungu chao yule msichana mmoja akawa anamwambia mwenzake hivi kwa kizungu...Thank God am Just 23 not 30yrs, so am free to make mistakes, she further said that she is yet to bleep different guys to taste how sweet.
Ikabidi nishindwe kuvumilia nikafanya hivi mhhhm haaam mwenzake anaye sikiliza akanitazama, alipo nitazama nikamwambia tell her to mark me as the next guy to pump her.
Wakaiinuka zao mbio mbio huku wanacheka kwa aibu, sasa swali nalo jiuliza mpaa mda hu, je huyo mwanamke ni kweli anafanya hayo au anataka kumpoteza mwenzake.
Ukimjaribu tu ndio utapata jibu la hilo swali lako!
Kamulize kaka yako kwanini ananita shemeji, wewe nenda tu kamulize leo...mana aliona bora aanze kunibembeleza mapema, alisha ona maendeleo yangu yako mbali sana, sio ya kawaida....Yeye target yake wewe uwe wangu.Kwanini usimuulize mwenyewe na mkuu unakunywa starbucks siku hizi, umeendelea.
Si kutongoza tu nili over kutongoza, wakakimbia, nashaka watarudi tu pale next week na mimi ndo zangu kubana pale natazama totoz, hata madameX nadhani safari hii atapita pale kuhakikisha kama nipo :violin:Ungentongoza pale pale ukaenda kujilia, then maswali yote uliyokuwa nayo kichwani ungemuuliza huko huko.
Dah jamaa ametukatizia story coz kama angejifanya hasikiia angesikia mengi ya kutuambia leo....Story ilikuwa nzuri sanaSa nawe kwa nin ukawakatsha maongezi yao hao wadada wa watu?
kimeo huyoo hajijui ndio maaana kasemahayo
Kwanini usimuulize mwenyewe na mkuu unakunywa starbucks siku hizi, umeendelea.
Of coz wote wamepotea wale,by then wanawaza only nosensez so we may kol dem future-looza kwa lyf ya ss.Alafu istoshe hawajui kama guyz are ril ****er,so wanawe z ku7bsha hz mashne zao kulegea.Jana nilikuwa nimebana kwenye corner moja pale starbucks na piga coffee, mara wakatokea wasichana wawili waka kaa karibu na pale nipo mimi kwenye meza ya pili...wakanza kupiga kizungu chao yule msichana mmoja akawa anamwambia mwenzake hivi kwa kizungu...Thank God am Just 23 not 30yrs, so am free to make mistakes, she further said that she is yet to bleep different guys to taste how sweet.
Ikabidi nishindwe kuvumilia nikafanya hivi mhhhm haaam mwenzake anaye sikiliza akanitazama, alipo nitazama nikamwambia tell her to mark me as the next guy to pump her.
Wakaiinuka zao mbio mbio huku wanacheka kwa aibu, sasa swali nalo jiuliza mpaa mda hu, je huyo mwanamke ni kweli anafanya hayo au anataka kumpoteza mwenzake.
Madame starbucks ndo nin? mwenzio naishi huku kiburugwa sijawahi sikia hiyo maneno.
Madame starbucks ndo nin? mwenzio naishi huku kiburugwa sijawahi sikia hiyo maneno.