Angalieni madudu haya ya TBC leo asubui...!

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
547
Reaction score
183
ndugu wana JF na watanzania wote kwa ujumla leo asubui katika mapitio ya magazeti mtangazaji wa tbc radio alikuwa akisoma vichwa vya habari vya magazeti na alisoma baadhi ya heading nyingi na akafika kwenye habari iliyokuwa inamzungumzia mch.msigwa..na akaanza kuisoma mch.msigwa amwaambia........., ikaishia hapo hapo nilipoweka nukta hizo na hakuendelea kumalizia habari hio na akaendelea na habari zingine...na bila shaka ilikuwa ni habari ya msigwa kumwambia kinana aende mahakamani..
ndugu nina uliza ni nini maana ya mwandishi huyu kutiomalizia habari hiyo..?
na hili si linathibitisha kuwa tbc si chombo tena cha habari cha wananchi..nani chombo cha chama na serikali yake..?
hebu nisaidieni zaidi maana yake nini hii,,,?
 
Wewe bado unaangalia Tbccm? wennzako tulishaacha tangu Tido aondolewe, bora niangalie hata ch10 kuliko huo upuuzi.
 
ndugu wana JF na watanzania wote kwa ujumla leo asubui katika mapitio ya magazeti mtangazaji wa tbc radio alikuwa akisoma vichwa vya habari vya magazeti na alisoma baadhi ya heading nyingi na akafika kwenye habari iliyokuwa inamzungumzia mch.msigwa..na akaanza kuisoma mch.msigwa amwaambia........., ikaishia hapo hapo nilipoweka nukta hizo na hakuendelea kumalizia habari hio na akaendelea na habari zingine...na bila shaka ilikuwa ni habari ya msigwa kumwambia kinana aende mahakamani..
ndugu nina uliza ni nini maana ya mwandishi huyu kutiomalizia habari hiyo..?
na hili si linathibitisha kuwa tbc si chombo tena cha habari cha wananchi..nani chombo cha chama na serikali yake..?
hebu nisaidieni zaidi maana yake nini hii,,,?

Pole sana kwa kukerreka. Lakini nakushangaa kidogo rafiki. Watu tuliacha kuangalia TBC1 from time immemorial alipofurushwa Tido Mhando. Pole sana. hamia kwingine you will never get any news from TBC1.
 
wana elimu ndogo na ni vibaraka na hawa ndiyo tunaosema watumishi wasio na future wanasubiri kuteuliwa kuwa wakurugenzi wa TBC shirika lisilo la lolote jipya baada ya kutoka kamanda aliyebobea na mdemoctratic wa habari bwana Mhando
 
Kuendelea kuishambulia TBC kila mara ni uthibitisho tosha kwamba ina watazamaji/wasikilizaji wengi, na hawataiacha TBC. Hivyo kuwashauri watu waache kupata habari kutoka TBC ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ili acheze. Si suluhisho. La kufanya ni kuendelea kupigania uboreshaji wake ili ikidhi matarajio ya umma wa Tanzania.
 
ni kwamba we umejua hilo leo au? kwamba tbc ni ya watu fulani
 
Kuendelea kuishambulia TBC kila mara ni uthibitisho tosha kwamba ina watazamaji/wasikilizaji wengi, na hawataiacha TBC. Hivyo kuwashauri watu waache kupata habari kutoka TBC ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ili acheze. Si suluhisho. La kufanya ni kuendelea kupigania uboreshaji wake ili ikidhi matarajio ya umma wa Tanzania.
Kuna technique ambayo imetumiwa na TBC kujikusanyia watazamaji wengi kutokana na serikali kulazimisha watu wahamie digitali, na TBC pekee ndiyo ikawa na ving'amuzi vya star times, ambavyo wanaonyesha TBC tu. Kuna wakati walianza kuonyesha ITV wakaipiga chini. Kwahiyo mwisho wa siku tunabaki na TV moja tu ambayo ni TBC. Sasa kama una king'amuzi cha Star times unakuwa huna option nyingine. Ni wakati sasa wa ITV, na TV nyingine kuungana na kuwa na king'amuzi chao tofauti na kile cha TBC.
 
Mm nilishaona wakati wakisoma vichwa vya habari katika magazeti mbalimbali kwenye TV, yule mtangazaji alipofikia gazeti ya Tanzania Daima akaliruka chap chap kama vile hakuna mtu aliyeona kisha akaendelea na magazeti mengine!
 
Yani umekosa chakuangalia kabisa mpaka ukangalia huko tbc? una mda wakupoteza e?
 
ndugu wana JF na watanzania wote kwa ujumla leo asubui katika mapitio ya magazeti mtangazaji wa tbc radio alikuwa akisoma vichwa vya habari vya magazeti na alisoma baadhi ya heading nyingi na akafika kwenye habari iliyokuwa inamzungumzia mch.msigwa..na akaanza kuisoma mch.msigwa amwaambia........., ikaishia hapo hapo nilipoweka nukta hizo na hakuendelea kumalizia habari hio na akaendelea na habari zingine...na bila shaka ilikuwa ni habari ya msigwa kumwambia kinana aende mahakamani..
ndugu nina uliza ni nini maana ya mwandishi huyu kutiomalizia habari hiyo..?
na hili si linathibitisha kuwa tbc si chombo tena cha habari cha wananchi..nani chombo cha chama na serikali yake..?
hebu nisaidieni zaidi maana yake nini hii,,,?
Wewe unajua maana yake halafu unajifanya tena hujui
 
Bado unaangalia tbc !!!.ikifika muda wa taarifa za habari fungulia supper brand no.1 tanzania (itv) ili ukate kiu ya habari za ukweli ndani na nje ya tz.

Bado unaangalia tbc !!!.ikifika muda wa taarifa za habari fungulia supper brand no.1 tanzania (itv) au star tv ili ukate kiu ya habari za ukweli ndani na nje ya tz.

Bado unaangalia tbc !!!.ikifika muda wa taarifa za habari fungulia supper brand no.1 tanzania (itv) ili ukate kiu ya habari za ukweli ndani na nje ya tz.

Bado unaangalia tbc !!!.ikifika muda wa taarifa za habari fungulia supper brand no.1 tanzania (itv) ili ukate kiu ya habari za ukweli ndani na nje ya tz.

ACHANA TV ZA KUSET KAMA SAA YA MSHALE

ndugu wana JF na watanzania wote kwa ujumla leo asubui katika mapitio ya magazeti mtangazaji wa tbc radio alikuwa akisoma vichwa vya habari vya magazeti na alisoma baadhi ya heading nyingi na akafika kwenye habari iliyokuwa inamzungumzia mch.msigwa..na akaanza kuisoma mch.msigwa amwaambia........., ikaishia hapo hapo nilipoweka nukta hizo na hakuendelea kumalizia habari hio na akaendelea na habari zingine...na bila shaka ilikuwa ni habari ya msigwa kumwambia kinana aende mahakamani..
ndugu nina uliza ni nini maana ya mwandishi huyu kutiomalizia habari hiyo..?
na hili si linathibitisha kuwa tbc si chombo tena cha habari cha wananchi..nani chombo cha chama na serikali yake..?
hebu nisaidieni zaidi maana yake nini hii,,,?

hiv we jamaa ndo unajuaga leo?Ci wenzio hatuckilizagi radio tbc wala kuangaliaga tbc1 ati!!!!!!!!! Wala radio uhuru!!Msigwa jembe wewe alaaa!!!!!
 
TBC ilikuwepo zama za TIDO, sasa kuna TBCCM, usiangalie wala kusikiliza tena, Hakuna kitu hapo.
 
Labda kama unataka kuona fashions za harusi. Uwe unaangalia kipindi cha Chereko ndicho pekee kiko real TBC. Zaidi ya vipindi vya bunge, wengine tushasahau kama kuna hicho kitu inaitwa TBC!.
 
Pole sana kwa kusikiliza hiyo radio. Ona wachangiaji wanavyokushangaa, hiyo ilishapoteza authenticity zamani we bado upo tu
 
Labda kama unataka kuona fashions za harusi. Uwe unaangalia kipindi cha Chereko ndicho pekee kiko real TBC. Zaidi ya vipindi vya bunge, wengine tushasahau kama kuna hicho kitu inaitwa TBC!.
Mkuu Tabby kwa kweli umenigusa sana. Naunga mkono na miguu yote.
 
Back
Top Bottom