Angalieni CNN now!

Angalieni CNN now!

kiparah

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
1,173
Reaction score
117
Mwenye access ya kuiona CNN, aangalie now, wanarudia Obama vs Romney, very interesting!
 
Aaah! Mi nilidhani ndege aliyopanda vasco dagama imepinduka na kuuwa watu wote!
 
Nahisi Obama atakuwa kambwaga jamaa kwa mbali saaaaana tu!
 
Angel Msoffe u made my mchana nimechekaje sasa!una visa sana
 
Last edited by a moderator:
Nahisi Obama atakuwa kambwaga jamaa kwa mbali saaaaana tu!
Hapana. Niliicheki hii debate live and if you judge by the art of debating, Romney was good than Obama. But on issues, hapo ndio inahitaji uchambuzi maana wote waligoof kwenye maeneo mengi tu
 
Kwa nini unafikiri kila mtu anataka kuangalia yadayada jabajaba labalaba?
 
Back
Top Bottom