Angalien chanel ten now

ZIRO

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
896
Reaction score
659
Nkinga anavunja mbayaa aiseeeee
 
Anazungumza kwa jazba au ndo kawaida yake?
 
Wachumia tumbo kwenye maslahi wapo ccm
 
Anaongea hoja nzuri sema ana jazba kweli
 
Mkinga kasababisha umeme ukatwe kwa namna alivyoichana serikali zaidi ya mkali ya kiwembe kipyaaaaaaa jamaan ni ccm kindaaaakindaki lkn hapendi ujinga wa shoping center ni nomaaaa mno
 
Bora tu bhangi iruhusiwe.... Huu uzi umechangiwa na wagonjwa, waliochangia huko juu wanahitaji msaada mkubwa.

.
 
Mkinga kasababisha umeme ukatwe kwa namna alivyoichana serikali zaidi ya mkali ya kiwembe kipyaaaaaaa jamaan ni ccm kindaaaakindaki lkn hapendi ujinga wa shoping center ni nomaaaa mno
Nimekuja kugundua Tanzania wananchi wakiskia siasa tunawaletea viwanda wanajua vitakuja tu, Nchi hii inaongoza kwa sera za kwenye paper
 
akili za mkinga changanya na za kwako
 
Bora tu bhangi iruhusiwe.... Huu uzi umechangiwa na wagonjwa, waliochangia huko juu wanahitaji msaada mkubwa.

.
Tatizo lako hujaelewa chochote, kama huna tv omba msaada ufafanuliwe.. Au ungeenda kwa jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…