technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Sawa mkuuLaha =Raha.
Sio lazima tuige kila kitu but kama jambo ni zuri tunaiga mkuuMkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Kenya inakaribia kumpata jaji wao mkuu ambapo nafasi hiyo ya kazi ilitangazwa mwez uliopita watu zaidi ya 800 wakaomba !!
Sasa wamechujwa wamebaki majaji 6
Lazima apatikane mmoja kabla ya mwezi October
Hadi raha wenzetu kiasi wanapiga hata katika mambo ya kimfumo !
Mkuu laila hakushinda uchaguzi wewe acha kudanganya watu hizi ni politics tuTatizo lako ni low reasoning uliyo nayo unadanganywa na mambo madogo madogo kama hayo kwa taarifa yako tu hata huyu jaji aliyeondoka alipatikana kwa njia hiyo hiyo lkn bado anashutumiwa kumuibia ushindi Raisi Uhuru Kenya kama ni kweli au siyo kweli hilo ni swala lingine lkn ktk malalamiko ya Upinzani chini ya Raila Odinga ya kuibiwa kura ni chini ya jaji huyu huyu aliyepatikana kwa njia hiyo hiyo, hivyo itakuonyesha kwamba haijalishi jaji anapatikana vp mwisho wa siku ni Ufanisi ndiyo unamata!
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Lakini kwani jaji anaoji urais tu??Tatizo lako ni low reasoning uliyo nayo unadanganywa na mambo madogo madogo kama hayo kwa taarifa yako tu hata huyu jaji aliyeondoka alipatikana kwa njia hiyo hiyo lkn bado anashutumiwa kumuibia ushindi Raisi Uhuru Kenya kama ni kweli au siyo kweli hilo ni swala lingine lkn ktk malalamiko ya Upinzani chini ya Raila Odinga ya kuibiwa kura ni chini ya jaji huyu huyu aliyepatikana kwa njia hiyo hiyo, hivyo itakuonyesha kwamba haijalishi jaji anapatikana vp mwisho wa siku ni Ufanisi ndiyo unamata!
Mkuu laila hakushinda uchaguzi wewe acha kudanganya watu hizi ni politics tu
Uhuru ndo alishinda na atashinda tena 2017
Exactly mfumo kwetu bado Upo mbali sana primitivePolisi kenya akiua raia anapandishwa kizimbani, sio hapa kwetu anapandishwa cheo.
Mkuu nikueleweshe tu jaji amestaafu baada ya kufikisha umri kikatiba miaka 70Hakuna mahali niliposema Raila alishinda Uchaguzi, ila nimesmea Upinzani uliongozwa na Raila Odinga walilalamika kwamba wameibiwa kura, na huyu jaji aliyeondoka pia alikuwa sehemu ya lawama kwamba alisaidia uibiwaji wa kura, ndicho nilichokisema, sasa kama ni kweli au siyo kweli hili swala lingine lkln ukweli ni kwamba Wapinzani walikataa matokeo!
Wapi wasikoua halaka?Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Time ya majaji kenyanani anafanya huo mchujo
Tume ya majajinani anafanya huo mchujo
Watu bwana,leo watu wanajichetua kwamba huo mfumo si lolote si chochote lakini siku ikitokea Mfalme wa nchi ya kufikirika naye akaamua kwamba tutumie huo mfumo,watu hao hao ndo watakuja humu kuusifia na kuonesha jinsi ulivyo na mafanikio.Kizazi cha laana!Tatizo lako ni low reasoning uliyo nayo unadanganywa na mambo madogo madogo kama hayo kwa taarifa yako tu hata huyu jaji aliyeondoka alipatikana kwa njia hiyo hiyo lkn bado anashutumiwa kumuibia ushindi Raisi Uhuru Kenya kama ni kweli au siyo kweli hilo ni swala lingine lkn ktk malalamiko ya Upinzani chini ya Raila Odinga ya kuibiwa kura ni chini ya jaji huyu huyu aliyepatikana kwa njia hiyo hiyo, hivyo itakuonyesha kwamba haijalishi jaji anapatikana vp mwisho wa siku ni Ufanisi ndiyo unamata!