Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
Last edited by a moderator:
Duuuh! artificial cabbage? au macho yangu? ngoja nakachukue miwani yangu maana umri umeenda..1
mbona balaa ,sasa tutaanza kuuziwa nyama za kuchanganya chemicals
...kwanini hizo YouTube clip hazifunguki kwenye android...?heb weka link...
Mie ndio sababu nimeacha kabisa kula katika restaurants za hawa jamaa na hata kununua vitu vinavyotoka kwao hasa vyakula.
We are now all fake, fake IDs, fake Avatars , fake comments.. fake genders, fake lovers, JF fake everything.
Fake MziziMkavu, fake Location, fake ideas....fake MODS, we are all hypocrites..... :banplease: