Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,018
Ni kweli nilishiriki kumkaribisha Lowassa UKAWA lakini dhamira na nafsi yangu inanisuta Tumekaribisha watu wa CCM ambao waliipinga Rasimu ya Katiba, najiuliza tutaweza kusimamia malengo ya UKAWA
Mtoa mada unatoka Povu la nini wakati senetensi ya juu umei quote mwenyewe iko clear kabisa,ulitaka aongee nini zaidi ya hiko.
EL hakuwahi kuchangia Bunge Maalum la Katiba, hivyo msimamo wake ni kundi aliopo (UKAWA).
SIJUI ANAONGELEA WATU WAPI?