Angalia unafiki wa Profesa Lipumba

Angalia unafiki wa Profesa Lipumba

Naona anawaangalia EL na mkewe kwa jicho la kupendezwa na wanavo kumbatiana..... kwi kwi kwiiiii.....
 


Hapa ilikuwa meza kuu, yuko Freeman Mbowe (CHADEMA), Edward Lowassa (CHADEMA) na Prof. Lipumba (CUF)

Ulimwengu wa Siasa Tanzania August 06 2015 umepokea headlines nyingine zenye uzito ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho.

Sentensi nyingine amesema hivi >>> &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];Taarifa ya kung'atuka niliitoa August 01 2015, nilisubiri kukamilisha masuala ya UKAWA ndio nitoke&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; Ninaendelea kuwa Mwanachama wa CUF na nimelipia Kadi ya Uanachama mpaka 2020, sina mpango wa Kujiunga ACT&[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];-Prof. Lipumba.
Hapa nina pichaz nyingine Kumbukumbu ya July 28 2015 siku Edward Lowassaalivyokaribishwa rasmi CHADEMA na UKAWA.

Lowassa na Mama Regina Lowassa wanakumbatiana, pembeni yao niProf. Lipumba.



Edward Lowassa na Prof. Lipumba walikuwa wamekaa karibu kwenye meza kuu muda wote.



Edward Lowassa na Prof. Lipumba kuna wakati walikumbatiana.
hatuwezi jua labda alikuwa ana kazi maalumu
 
Kuwa profesa si kuwa na akili, ni kuweza kufanya tu kitu kidogo mno kwa usahihi
Lipumba mnafiki wa kweli na ndio maana hakutaka kubaki kwenye UKAWA iliyokuwa na kila dalili za unyonyaji, mfano mdogo kwenye Kura za URAIS WA UKAWA kupitia CDM, CUF bila shaka walikua na kura zao pia, je wanapewa ruzuku yeyote itokanayo na kura zile ambayo inaingia CDM tu??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom