Angalia unafiki wa Profesa Lipumba

Angalia unafiki wa Profesa Lipumba

Lipumba alitaka wabakie wao wenyewe tu ndio wapambane na CCM...

So pathetic...
 
"A US military attack against Syria was unexpectedly put on hold on Saturday, after the U-Turn from president Barack Obama,he earlier backed the use of force after what he called "the worst chemical weapons attack of 21st century of Syria's government to its people",
Mkuu,
Mwaka jana Barack Obama alisitisha maamuzi ya kwenda vitani kuishambulia Syria japo alishakubaliana na ushahidi ulioletwa mbele yake na ana mamlaka ya kikatiba ya kuruhusu mashambulizi,lakini after a deep self analysis of the situation he had to do what he believed was right bila kujali wengine wanaoamini tofauti na yeye watasemaje na hiyo ndio sifa ya Kiongozi,kuna point inafika unakuwa tayari kufanya maamuzi ya pekeyako as long as unaamini uko right.
Kwa hiyo usimlaumu sana Llipumba na kutoka povu bila sababu,situation iliyomkuta ni kama iliyomkuta Obama kama nilivoeleza na ni vitu vya kawaida kwa viongozi popote pale duniani.
Swala sio kumkaribisha Lowassa bali ni nini kilifuata baada ya hapo? yeye alikaa na kuona kama kiongozi mwenye dhamana hatakuwa akiwatendea haki watanzania na Tanzania kwa ujumla kama ataendelea na kumkubali huyu bwana,sasa nani anakubaliana naye na nani hakubalianani naye na kwa principles zipi huo ni mjadala unaoachwa mikononi mwa watanzania wote.

Irrelevant comparison.
 
kukumbatiana sio sababu, ujue Lipumba anaupeo mkubwa sana.,sana huyu jamaa kweli ni profesa,hata mbowe amejua kwamba Lipumba sungura.Ule ni mkenge ,UKAWA si chama cha siasa.Lowasa raisi kutoka chadema.kusapoti ukawa isha geukani kusapoti Chadema, Chadema kinakua watu wanajiunga CUF nguvu inapungua.Raisi anapanga Baraza la mawaziri, Chadema ndo wanarusiwa,cio ukawa, chadema wakigoma kuwashirikisha Cuf kuwapa nyazifa hawwezi kushitaki popote.Muungano wao hautambuliki kisheria kutoka kwa msajili wa vyama.Balaa hayo mambo ya kisomi Lipumba sungura.

Mi naona huyu sio sungura bali ni kenge mkubwa aliyewaingiza mkenge UKAWA. Ama kweli katika msafara wa mamba kenge hawakosi.
 
‘Ni kweli nilishiriki kumkaribisha Lowassa UKAWA lakini dhamira na nafsi yangu inanisuta… Tumekaribisha watu wa CCM ambao waliipinga Rasimu ya Katiba, najiuliza tutaweza kusimamia malengo ya UKAWA‘
Mtoa mada unatoka Povu la nini wakati senetensi ya juu umei quote mwenyewe iko clear kabisa,ulitaka aongee nini zaidi ya hiko.

Mtoa mada ni NYUMBU
 
Mnafiki kweli huyu pro, Angeweza kualibu ukawa Siku za mbele ni bora katoka mapema
 
Safi sana BAVICHA tukana kila mtu mwenye mawazo tofauti na Mbowe.
 
kukumbatiana sio sababu, ujue Lipumba anaupeo mkubwa sana.,sana huyu jamaa kweli ni profesa,hata mbowe amejua kwamba Lipumba sungura.Ule ni mkenge ,UKAWA si chama cha siasa.Lowasa raisi kutoka chadema.kusapoti ukawa isha geukani kusapoti Chadema, Chadema kinakua watu wanajiunga CUF nguvu inapungua.Raisi anapanga Baraza la mawaziri, Chadema ndo wanarusiwa,cio ukawa, chadema wakigoma kuwashirikisha Cuf kuwapa nyazifa hawwezi kushitaki popote.Muungano wao hautambuliki kisheria kutoka kwa msajili wa vyama.Balaa hayo mambo ya kisomi Lipumba sungura.
kapewa bilion nne kakimbia nchi kenge huyu ila haja athir kitu.
 
Hapa ilikuwa meza kuu, yuko Freeman Mbowe (CHADEMA), Edward Lowassa (CHADEMA) na Prof. Lipumba (CUF)
Ulimwengu wa Siasa Tanzania August 06 2015 umepokea headlines nyingine zenye uzito ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho. Sentensi nyingine amesema hivi >>> ‘Taarifa ya kung’atuka niliitoa August 01 2015, nilisubiri kukamilisha masuala ya UKAWA ndio nitoke… Ninaendelea kuwa Mwanachama wa CUF na nimelipia Kadi ya Uanachama mpaka 2020, sina mpango wa Kujiunga ACT‘-Prof. Lipumba.Hapa nina pichaz nyingine Kumbukumbu ya July 28 2015 siku Edward Lowassaalivyokaribishwa rasmi CHADEMA na UKAWA.
Lowassa na Mama Regina Lowassa wanakumbatiana, pembeni yao niProf. Lipumba.

Edward Lowassa na Prof. Lipumba walikuwa wamekaa karibu kwenye meza kuu muda wote.

Edward Lowassa na Prof. Lipumba kuna wakati walikumbatiana.

Hiyo haifanyi Professor kua mnafiki, huwezi kupima kwa kuangalia kinachotokea Jukwaani kuna vikao ambavyo Professor anasema walikubaliana na makubaliano yamekiukwa, amekwenda mbali zaidi kueleza muungano wao UKAWA una maana gani;

mtazame Dr

1439004686513.jpg

Hii haikufanyi umwite Dr kwamba mnafiki eti kwa sababu alishiriki vikao vya awali kumjadili FISADI.
 
kukumbatiana sio sababu, ujue Lipumba anaupeo mkubwa sana.,sana huyu jamaa kweli ni profesa,hata mbowe amejua kwamba Lipumba sungura.Ule ni mkenge ,UKAWA si chama cha siasa.Lowasa raisi kutoka chadema.kusapoti ukawa isha geukani kusapoti Chadema, Chadema kinakua watu wanajiunga CUF nguvu inapungua.Raisi anapanga Baraza la mawaziri, Chadema ndo wanarusiwa,cio ukawa, chadema wakigoma kuwashirikisha Cuf kuwapa nyazifa hawwezi kushitaki popote.Muungano wao hautambuliki kisheria kutoka kwa msajili wa vyama.Balaa hayo mambo ya kisomi Lipumba sungura.

Mpaka sasa angalia mnufaika mkubwa wa UKAWA ni CHADEMA. Wengine wasindikizaji tu, hawana chao zaidi ya kutegemea huruma.
 
Lipumba mnafki kulikua hakuna haja ya kupretend siku zote toka Lowassa kaingia UKAWA yani alivyopata tu tetesi kua Lowassa angekuja UKAWA angejiuzulu wala asingesubiri sijui kumkaribisha

Lowassa ndio mnafiki na tapeli mkubwa. Kulikuwa hakuna haja Ya yeye kuchukua fomu ya kugombea urais akiwa CCM kama alitaka mabadiliko ya mfumo. Angetoka mapema sio mpaka akatwe
 
‘Ni kweli nilishiriki kumkaribisha Lowassa UKAWA lakini dhamira na nafsi yangu inanisuta… Tumekaribisha watu wa CCM ambao waliipinga Rasimu ya Katiba, najiuliza tutaweza kusimamia malengo ya UKAWA‘
Mtoa mada unatoka Povu la nini wakati senetensi ya juu umei quote mwenyewe iko clear kabisa,ulitaka aongee nini zaidi ya hiko.

Katiba mpya ya wananchi haitopatikana kwa kuwakataa walioipinga bali ni kwa kuwachukua ili ndio watoe ukwel kwa wananchi dhamira mbaya ya maccm juu ya mchakato wa katiba mpya!
 
Watu wengi mnaongea bila kujua haya mambo yote ni ya kisiasa na mjue kama siasi inajengwa na unafiki. Asiyekua mnafiki ndani ya siasa huyo ni bora akaachana nayo. Usione vyama vyote vinavyounda Ukawa kama nia yao ni moja hapana, kwani ingekua hivyo wangewa wote wameunda chama kimoja wakakisajili kama chama cha ukawa. Ila hapo walipo wengine dans nia ya kudhofishana wao kwa wao na ndiyo mkenge ambao chadema wameingizwa na wenzao kwa kumfagilia Edo. kinacho fanyika ni kuipunguzia CDM uaminifu kwa watz ili kiburi cha wanacdm kishuke cha kujiona wao ndo chama tu cha upinzani TZ na tayari malengo yameshatia. Kuwa na MTU njia moja hahina maana ya wote mnaenda sehemu moja..
 
mkuu muda mwingine huwa napata shaka sana na elimu zetu,maamuzi ya obama katika vita vya siria ufananishe na maamuzi ya kiongozi wa chama cha siasa kujitoa ?

mkuu usipate shaka na elimu zetu, pata shaka na uwezo wetu wa kufikiri na ufahamu!!! hapo ndipo tuna shida kubwa
 
Nafsi imemsuta atakavyohujumu ukawa Kama alivyofanya 2010 kwa JK
 
‘Ni kweli nilishiriki kumkaribisha Lowassa UKAWA lakini dhamira na nafsi yangu inanisuta… Tumekaribisha watu wa CCM ambao waliipinga Rasimu ya Katiba, najiuliza tutaweza kusimamia malengo ya UKAWA‘
Mtoa mada unatoka Povu la nini wakati senetensi ya juu umei quote mwenyewe iko clear kabisa,ulitaka aongee nini zaidi ya hiko.

Hii ni sawa na Shehe kujiuzuru na kuwa muumini wa kawaida kisa kamsilimisha askofu aliyekuwa anaupinga uislam, sababu eti nimefanya makosa kumkaribisha mtu aliyekuwa anapinga uislam. Hata mtume Paulo,zamani akiitwa Sauli alikuwa katili zidi ya Ukristo hata kuua wote waliokuwa wanahubiri injili, lakini alivyobadilika na kuitwa Paulo alifanya kazi kubwa ya kueneza Injili na hata kuandika vitabu kadhaa vya Injili. Wakristo wa enzi hizo wangekuwa na akili kama za Lipumba wangemkataa Paulo.
 
anasema 'nafsi itamsuta' hivyo inawezekana siku hiyo alikuwa kaisahau nafsi yake nyumbani.
Akitaka aaminike tena ni lazima akija public aambatane na mkewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom