Angalia umri wako na status yako saivi

Angalia umri wako na status yako saivi

Mungu tu aendelee kutulinda na kutuepushia ukimwi.

Trust me kila mwanaume ni Mme wa MTU haijalishi kaoa au hajaoa.

Ndoa ni changa la macho
Siku hizi unakuta kijana hajao ana wanawake wa 4 na wote hawajuwani.

Mwanaume anajua kuwapanga na hawajawai kugongana, kila MTU anahudumiwa kivyake.

Hao wanawake ambayo wako kwa huyo kijana, pembeni wana nichepuko

Na hiyo michepuko Nayo INA michepuko pembeni yaani ni chain.

Hakuna watu Malaya kama wake za watu, wao wanachoogopa ni ukimwi sometimes. Coz hana cha kupoteza. Tofauti na sie tunaoogopa kuhesabiwa wanaume na kupanuliwa uke kabla ya ndoa.
Mtoto anae Mme anae kila Siku wanakunjana akienda job wanamkunja ofisini na kwenye packing akija Mme nae mme anachomeka no difference.

Indirectly kila MTU ni Mme/Mke wa MTU. Ni kuomba update mwenye hofu ya mungu.
Aiseee
 
Mmmmmh hali inatishaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaha ujumbe mkubwa huu

Shida ujumbe huu umelenga watu ambao hawapo huru kuanzia fikra mpaka Uchumi, yaan walioshindwa nakujikatia tamaa .

Ni watasoma lkn hawawezi kukuelewa kabisa kabisa.

Mimi huwa nashangaa sana, Unakuta mdada mzima anayejieleza kama mwenye akili. Hapohapo anafurahia kua mchepuko sugu wa mwanaume aliyeoa???...... Aibu tupu.
 
Angalia umri wako na status yako saivi

Wengi mnaojitambua saivi ni mlio chuo, mmemaliza na wengine mliopo na maisha yenu najua mpo kwenye age ya 20,21,2,3,4,5,6,7,8,9,30

Age yako usidharau lakini kitu nataka kusema epuka mapenzi ya mme wa mwanamke mwezio.

Nimekutana na wadada wengi sana mpo kwenye mahusiano na wa ume za watu na mme relax na mna enjoy hamgeuki na wala hamuambiliki.

My dia hivi mwanaume anajua anapata shida sana kumfanyia interview mtu wa kumuoa

Yaani mwanaume mpaka anakuja kukuoa tambua kabisa amejilizisha mambo mengi sana kwako

Sasa mwanaume anapokuja kwako na kukutongoza ukiwa binti hujui ndoa na wewe unatarajia ndoa kwanza

Anakuja anajua kabisa kua hana sifa za kua na wewe kwa sababu tiaria ameoa kwa hiyo lazima age na gia ya

Kukujali, kukuhonga, kukutunza kukupa mtaji, kukupa unachotaka ili apate nafasi ya wewe kumsikiliza na hapo lazima utasikia anamponda mke wake ooh yule mkorofi sana

Nililazimishwa tu kumwoa baada ya kuzaa naye atasema ooh yaani hajui mapenzi kabisa yaani najua kumwoa yule mwanamke

Sasa haya maneno yatakupa kiburi na kuona kama sasa umepeta mtu na anavyokujali sasa upo lazi kumtukana kijana ambaye yupo single kisa upo na huyo mme wa mtu

My dia ccta umepotea sana na nataka nikufungue macho leo

Kama unavyowajua wanaume ni watu hawaambiliki na hawapingwi na mtu kwa nini sasa kama kweli hamupendi huyo mwanaume asimufukuze akakuoa wewe?
Kwa nini asimurudishe kwao ili akuoe wewe?

Akili yako unaipeleka wapi unashindwa kujiuliza mambo ya msingi eti unadanaganywa na wewe unakubali
Wakati mke wake ndio mwanamke pekee kati ya wanawake wote aliopita nao alimwona bora akatoa mahari akafunga ndoa akamzalisha wakajenga wakanunua gari leo wewe unadanganywa et nini nini nini na hivyo vipesa sasa unavimba mpaka unajikuta unachukua no ya mke wake unamtukana.

Hivi huelewi kwamba kama saivi upo peke yako yupo na mke wake tena kamlalia mapajani wanaangalia tv na usiku tunda la ndoa linahusika na wewe akikuona anaendelea kukupa ujinga oo jana tuligombana sana na mke wangu mpaka akazima simu ooh mara yule mshezi sana

Mdogo wangu unapotezewa muda
Asante dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom