angalia ubunifu huu

angalia ubunifu huu

Hiyo pool table ipo hapa kijijini kwetu kituturi, kata ya nyakatondo, mkoa mpya wa KATAVI. Karibuni kwetu
 
Mhhh hii registration card yake itatolewa kweli maana aina ya body ...
 
Hiyo ni kofia ya gari au sunroof? Dereva anaendesha kwa auto-pilot maana sidhani kama anaona mbele yake.
 
kwenye pool.., Poa Sana

Kwenye gari huo ni uchafu tena ni kuharibu na sio kutengeneza., (
 
halafu ngoma ikipishana na lori hapo sijui panakuaje....!
 
Back
Top Bottom