Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombeašŸ¤”

Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Halafu nikifikiria tunatamba na kuwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru dah. Bora muingereza angeendelea kututawala tu, tuliitaka nchi katika kipindi ambacho bado hatujajua nini maana ya kujiongoza katika dhima nzima ya MAENDELEO
 
Alafu nikifikiria tunatamba na kuwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru dah. Bora muingereza ungeendelea kututawala tu, tuliitaka nchi katika kipindi ambacho bado hatujajua nini maana ya kujiongoza katika dhima nzima ya MAENDELEO
Reli ya kati ya mjerumani na Tazara ya macho madogo tumeziua kiaina.

Hii mpya yetu ndio tutaiweza ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreā€¦