izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,396
Naimani wewe utakuwa mwana kemia ujui lolote kuhusu uchumi mnadhani alikosea kutaja 7.9 ??? uchumi wetu umekua kwa 7.9% kwa robo ya kwanza maana yake ni kuwa kwa mwaka uchumi wetu uta range kwenye 7% kwa mwaka na niongezeko la 2.3 % kutoka 5.6% mwaka 2015 na mfumuko wa bei kutoka 5.1 to 4.9 sasa anataka tuwe tunacheza na ukuwaji wa 7.2% kwa mwaka sasa hapo kakosea nn????Kweli kbsa from 7.9 to 7.2 ni hatari sana.
Lazima tuishi km mashetani. Nilikuwa najiuliza mzee wangu vipi?
-Mbona zile ajira za wanyonge bado kaziweka mfukoni?
-Katoa mikopo kwa wanafunzi wachache
-Hakuna fao la kujitoa
-Hakuna posho, kupandishwa madaraja na wengine hawajalipwa mishahara miez 7
-Dawa hakuna
Awamu hii chiboko kwa kweli. 7.9 -7.2 Hapa kazi tu