Angalia picha hizi halafu toa maoni yako

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,765
218,387
Mtu huyu anaitwa Martin Mbwana, Hizi ni picha mbili za mtu mmoja kwenye majukumu na maeneo Tofauti .

FB_IMG_1684308935992.jpg
FB_IMG_1684308870763.jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
CCM ni upumbavu
Hawa jamaa kila sehemu wanavuruga tu. Yaani wanatumia kila aina ya mbinu/ushawishi, ili tu kupandikiza mamluki wao. Na wakishamuweka tu, basi chama husika kinageuka na kuwa tawi la ccm.

Kwenye vyama vyote vya wafanyakazi, wameweka takataka zao! Huku kwa wafanyabiashara nako ndiyo hivi! Kwa wale wakulima wenzangu na mimi, ndiyo kabisaaa!!

Hovyo kabisa.
 
Hovyo kabis
Screenshot_20230517-102632.png
a.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom