murder hio,
-
-kwa position ya damu pale dirishani inamaana huyu mtu alipigwa/kujipiga risasi akiwa karibu kabisa na dirisha hivyo damu kurukia pale dirishani sasa imekuwaje aanguke miguu iwe mbali huku kichwa kiwe karibu na dirisha? ilitakiwa miguu iwe karibu na dirisha ambako ndio alisimama then kichwa kielekee kwingine au angedondoka kwa kukaa karibu na dirisha, mwili jinsi ulivyokaa hauendani na na damu ilipo explanation pekee ni kuwa huu mwili umesetiwa ukae jinsi ulivyokaa
-hio shagalabagala ya vitu inaonekana kulikua na struggle kwanza kabla ya tukio kutokea so ni wazi kulikua na mtu mwngine hilo eneo
-hio bastola na sigara alishikishwa ni ngumu mtu afariki akiwa ameshika vitu vile halafu vikabaki vimeshikwa vile, vidole vingekuwa vimefunguka kdg na hvyo vitu kudndoka au vingekuwa vimeshikwa, ila sio tight hvyo, madetective wa jf kwe ubora wetu