Angalia nyumba za Polisi wetu

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078


Askari polisi Rombo mkuu akitoka kwenye nyumba yake.




Zimetengenezwa kwa mbao.

Wapiga mabomu ya machozi kwa wananchi wanao dai haki zao wanaishi humu na familia zao. Hapa ni Rombo mkuu

Source: www.mjengwablog.com

 
halafu bado wana ujasiri wa kuwaua kwa risasi walalahoi wenzao,..hali mbaya kwa hawa watu.
 
Sisemi kwa kejeli lakini hizo nyumba zinafanana na mabanda yangu ya kufugia kuku ambayo ujenzi wake hata haukuniumiza kichwa.
 
Lakini uwezo wao wa kielimu ni mdogo sana wengi ni failure wa iv au vi
 
halafu bado wana ujasiri wa kuwaua kwa risasi walalahoi wenzao,..hali mbaya kwa hawa watu.

Watu wakiandamana kudai serikali iwatendee haki polisi wanawapiga mabomu hata kuwaua! Acha wakae hivyo hivyo, serves them right, m**a wa CCM hawa! Kwanza hata ungewapa nyumba nzuri naturally ni wachafu! Wizara ikiwatengea fungu la ukarabati wa nyumba zao makamanda wao wanazilamba na menyewe yanakaa kimya! Nayaonea huruma sana magorofa ya chang'ombe waliyojengewa; watafugia nguruwe huko juu hawa, nipo mimi,mtaniambia! Wakae hivyo hivyo hadi watakapopata akili ya kushirikiana na raia kuibana serikali ya CCM itende haki, ny****fu!
 
Tumeambiwa hatutakiwi kugoma... Askari aina zote,Idara ya Maji,Tanesco,na Idara ya Afya...

So,tunacope,kama si kukomaa na hali...
 
Ieleweke kwamba, hiyo ni kambi. askari wanakaa makambini mpaka uwe officer. lakini lol! bora hata mabwepande, nyarugusu n.k. Mtoto wa maskini hachagui malezi.
 
Yaani hawa jamaa maisha yao yanasikitisha sana, lakini wao wameridhika kabisa!
 
Nyumba hizi, ndiyo saizi yao Polisi, kwa sasa; mpaka hapo watakapozinduka kutoka usingizini, na kuwa na mwamko wa kisiasa, na kuachana na fikra za "Zidumu fikra za magamba!" Kwa sasa, nyumba hizi, ndiyo mavuno ya mbegu walizopanda, za kuwapiga mabomu ya machozi, watu wenye nia ya kuikomboa nchi hii kutoka kwa Magamba!
 
Wamelishwa limbwata na sisisiemu msiwalaumu!Hata yeyote kati yetu akijiuna na geshi hilo ni lazima akaishi maisha +,na kwenye kutuliza ghasia unakuwa mkali kama swira!Limbwata inaanzia CCP Moshi.
 
Tumeambiwa hatutakiwi kugoma... Askari aina zote,Idara ya Maji,Tanesco,na Idara ya Afya...

So,tunacope,kama si kukomaa na hali...
Na ndio maana wanafanya kama kuku (wanawafuga) huko kambini au line kama mnavyoita. Sio nyumba za kuishi mtu anayelinda maisha na mali za wananchi na ndio maana mtaendelea kuua raia, kuiba, kula rushwa na kuomba omba bia na viofa. Kwani hamjaambiwa msiombe rushwa au msinyanyase mwananchi wala kumbamkia kesi, au hilo la kugoma ndio limewaingia vichwani tu. Acha upolisi tu nenda hata kabrash viatu. mnawalinda mnawaibia kura kisha wanawaweka kwenye mabanda ya kuku
 
(Na ndio maana wanafanya kama kuku (wanawafuga) huko kambini au line kama mnavyoita. Sio nyumba za kuishi mtu anayelinda maisha na mali za wananchi na ndio maana mtaendelea kuua raia, kuiba, kula rushwa na kuomba omba bia na viofa. Kwani hamjaambiwa msiombe rushwa au msinyanyase mwananchi wala kumbamkia kesi, au hilo la kugoma ndio limewaingia vichwani tu. Acha upolisi tu nenda hata kabrash viatu. mnawalinda mnawaibia kura kisha wanawaweka kwenye mabanda ya kuku
Unlike)



TAWILE BULAYI!
 
"Popote mtakapomkuta askari kaanguka kwa njaa, muinueni na msinyime maji ya kunywa kwani askari nao wanaumizwa na maisha magumu yanayosababishwa na serikali legelege" By GodBless Lema.
 
Naomba ndugu zangu polisi waende Botswana tu wakaangalie nyumba za polisi zilivyo alafu wakitoka huko wajipime na kuona jinsi wanavyotumiwa tu kama mbwa wao
 
Tena hao polisi wa rombo ni wala rushwa wakubwa wakiongozwa na huyo mama mkuu wa kituo! Nashangaa na kula kote rushwa wanaishi kwenye vibanda!
 
Back
Top Bottom