Angalia mwezi ujue tabia zako!!

Angalia mwezi ujue tabia zako!!

KILITIME

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2009
Posts
265
Reaction score
18
angalia mwezi uliozaliwa ujue tabia zako;
Jan;jasiri na mkorofi
Feb:mwenye bahati na mkweli
Mar:msumbufu lakini mzuri
Apr:anajali na ni mpiganaji
May:anaupendo na ulio halisi
Jun:mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo
Jul;amebarikiwa vipaji na ana busara
Aug;makini na mchapa kazi
Sep;anaelewa haraka na ni mzuri wa sura
Oct;anakwenda na wakati na ni rafiki mwema
Nov;anakipaji na ni mbunifu
Dec; mtu wa starehe tuu!!!!!!!!!!
Vipi je wewe ni mzaliwa wa mwezi gani?? tafadhali usibadili kulingana na tabia za mwezi wako na jee unaonaje matokeo vp yana ukweli???

 
Last edited by a moderator:
Team October oyeah...
kweli usemayo yana ukweli
 
1 may .kweli ninaupendo hata wife anasema hatakikunikosa hatapa mwenye upendo kama mm
 
Mie pia wa Dec.ila starehe sizifagilii kivile ingawa ninapokuwa ninazo huwa nafanyafanya kiasi,Ugali kwa mbuzi choma,mapande,kitimoto,ndizi choma PLUS vi-bia viwili vitatu ahh.. vinanifanya na mimi nijione nastahili kuishi kwenye hii Dunia,maisha yenye mawili haya KILITIME nisipofanya vistarehe kidogo ndo inakuwaje sasa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom