Angalia Muundo wa ACT, Huu sio Udikteta Huu?

Angalia Muundo wa ACT, Huu sio Udikteta Huu?

Kwa akili yako finyu hayo umeyaona ni mamlaka ya juu!

tatizo ushamba wa fikra...unafikiri kila mahali mw/kiti ndiyo kiongozi wa juu.

Akili ndogo mbaya!
usiwe na hasira na mimi mkuu maana sikuiandaa hiyo katiba.
 
If you want to know someone, give him/her a a chance to speak or to write.

Ulichoandika kinaonyesha jinsi gani ulivyo.

ACT wazalendo hatusumbuliwi na jamii ya watu kama wewe.
Jamii ya watu kama Lusinde ACT tumeshawazarau.

Cheo halisi cha Zitto ni :
AYATOLLAH PONTIFF GENERAL (APG)
Kwa hiyo ataitwa :
Ayatollah Pontiff General Zitto Zubeir Kabwe
 
Inavyoonyesha unashimdwa kutofautisha kati ya kiongozi wa chama na mwenyekiti!

Akili yako inakudanganya kuwa always a chairman/chairperson must have more power than anyone else!

You misleading.
Akili ya kushikiwa.

usiwe na hasira na mimi mkuu maana sikuiandaa hiyo katiba.
 
Ukiona hivi ujue kabisa zile Article 2 kuhusu Washamba na dalili za udikteta zimewaingia hadi mifupani, naomba Zitto utuletee mawe mengine hadi wanyooke
 
ACT ina Ayatollah aliye juu ya Rais, halafu Ayatollah ana nguvu kama Kim Jong-Un North Korea.
 
Mnalalamikia serikali ya ccm kama vile viongozi wake wametoka sayari nyengine,watanzania ndiyo walewale tu. Kama mtu ameweza kutengeneza katiba ya kidikteta kwenye chama cha upinzani ndiyo takuja unafikiri ataacha kutengeneza katiba kama hiyo akiwa amepewa nchi kabisa?
 
Hana anachokifaham zaidi ya kuchukua alichokiona na kuleta hapa.

Ilani ya ccm imeelezea kuhusu wanafunzi watakaobeba mimba,lkn mtu mmoja kafuta maamuzi ya chama na hakuna wa kumuhoji ndani ya chama,hii ni kwakuwa ni yeye ni Chama dola,yaani ni mwenyekiti na muda huohuo ni Rais.

Mfumo wa Kiongozi wa Chama wanao ODM,ANC,LABOUR nk.

Kiongozi wa chama ndio mara nyingi huwa mgombea Urais,akishinda anaendelea kuwa kiongizi wa chama huku shughuli zote za chama zikiendeshwa na Mwenyekiti.

ACT-wapo vizuri sana ,sema Mleta mada kaumizwa na zile Dalili za Dikteta ambazi kimsingi Zitto kazisoma kwenye vitabu na majarida mbalimbali na kuamua ku share na watanzania.

Usimchukie mtu kwa kuandika usilolipenda.
 
We are not speaking the same language...
Anyway.

ACT wazalendo ni chama makini hakiangaiki na wale jamii ya wanyama....
Inayotibu dalili ni tulizo, si dawa.

Dawa inatibu ugonjwa,si dalili.
 
We are not speaking the same language...
Anyway.

ACT wazalendo ni chama makini hakiangaiki na wale jamii ya wanyama....
ACT wazalendo kingekuwa ni chama makini kisingeondokewa na mwenyekiti wake kirahisi kwa ajili ya hongo ya Magufuli ya kazi wewe.

Kimeondokewa na mwenyekiti,kimeondokewa na Dr. Mkumbokwa sababu wameona hakina future na huko kwa Magufuli wanaweza kuwa na future.
 
Hivi mwigamba bado ni katibu mkuu?
 
ACT wazalendo hakikuondokewa na mwenyekiti.....bali kimemuondoa mwenyekiti.

Dr Mkumbo alikuwa mtumishi wa serikali, na kilichofanyika ni kubadirishwa kutoka sehem moja na kupelekwa sehem nyingine.

Kwa upeo wako ulivyo mdogo huna unachokijua.

Ukitaka kuongelea habari ya upeo wewe mtu ambaye hata Kiswahili hujui, hujui kwamba hakuna neno "kubadirishwa" na neno sahihi ni "kubadilishwa" katika Kiswahili, kwa ushamba wako huo, huna cha kuniambia kuhusu upeo.

Mwalimu Nyerere alikuwa muajiriwa wa serikali ya mkoloni, akaona harakati za chama cha TANU ni muhimu kuliko kufanya kazi ya serikali ya mkoloni. Akachagua kufanya kazi ya chama. Akaacha kufanya kazi serikali ya mkoloni.

Uamuzi wake huo unatuambia wasomi wa historia mpaka leo kwamba kati ya kazi ya ualimu serikali ya mkoloni na kazi ya chama, kipi aliona muhimu.

Viongozi wenu wamepewa nafasi ya kufanya kazi ya chama au serikali hii, wamechagua serikali kwa sababu chama chenu hakina future.

ACT imejishaua kumuondoa Anna Mghwira uenyekiti baada ya Anna Mghwira kukitosa chama na kuamua kukubali ukuu wa mkoa aliopewa na Magufuli.

Mchumba kakwambia kapata mchumba mwingine, unawahi kusema eti umemuacha wakati yeye kwa kukuambia tu kapata mchumba mwingine maana yake yeye ndiye kakuacha wewe.

Kama Kitila Mkumbo alibadili kazi moja na nyingine tu katika serikali, kwa nini alijiuzulu kuwa senior consultant wa ACT Wazalendo? Kwa nini Zitto alisema Kitila mkumbo hawezi kuendelea kuwa mshauri wa chama?

Kama ACT ni chama cha maana sana, kwa nini Anna Mghwira aliamua kukubali ukuu wa mkoa aliopewa na Magufuli?

Kili RC Anna Mghwira stripped off ACT chairmanship

Tanzania: Prof. Kitila Mkumbo Named Permanent Secretary in Water, Irrigation Portfolios
 
Inavyoonyesha unashimdwa kutofautisha kati ya kiongozi wa chama na mwenyekiti!

Akili yako inakudanganya kuwa always a chairman/chairperson must have more power than anyone else!

You misleading.
Akili ya kushikiwa.
nilitegemea hoja yako ingejikita katika mambo haya;

1. katiba iliyowekwa hapa si halisi.

2. content za ibara zilizokuwa qouted sio sahihi.

ungezitia nyama hoja hizo mbili kwa kuweka katiba sahihi yenye ibara sahihi ili nionekane kuwa ninapotosha.

Hujafanya hivyo.

Na kuchallenge kuweka hapa katiba yenu ya chama, otherwise unapiga porojo tu.
 
Ni kifungu gani cha katiba ya chama chenu kinampa mamlaka mwenyekiti wa Taifa kuita watu wapumbavu baada ya kuona madiwani wa chama kingine wamegoma kujiunga na chama chenu?
 
ajabu ni kuwa anayewaita wenzake madikteta katiba yake imempa mamlaka ya juu kabisa kuliko yeyote kwenye chama chake. na yeye akaamua kuiunda akitambua hilo.
Jibu swali wewe! Ina maana mkubwa wa chama sharti aitwe Mwenyekiti?

Nitajie cheo kimoja CCM mwenye nguvu kuliko Mwenyekiti wa Chama?! Kwani walishindwa madaraka yote ya Kiongozi Mkuu wa Chama akapewa mwenyekiti na kisha huyo kiongozi wa chama akawa ndie mwenyekiti?!

Hoja yako ingeonekana ni ya msingi endapo hiyo nafasi ya Kiongozi wa Chama ingekuwa ni ya kudumu na exclusively kwa watu au mtu fulani lakini katiba yao inasema wazi kwamba hiyo ni nafasi ya kuchaguliwa na vile vile kiongozi wa chama anaweza kuondolewa!
 
Zitto hii dhambi ya usaliti itamtafuna mpk kuzimu.
 
Back
Top Bottom