Angalia Mtazamo wa Wazanzibari


huyo dogo kama ndo dogo langu nalikata ngwala,,,jinga kabisa hilo,,,,yaani naudhiwa na wenye mawazo fake kama hawa,,,,,,
 

mimi siamini kwamba sisi waislam ili tufanikiwe basi lazima tujiunge na OIC,,,,,,
 
Bajabiri bana leo umewatolea uvivu,ILA msemakweli ni mpenzi wa Mungu.waambie ukweli wasiangamie kwakukosa maarifa.
 
Bajabir, taratibu ndugu yabgu, baadhi ya waislam hawataki kukosolewa, utaitwa msaliti............,

Gama, Bajabir yuko right kabsaaa! Mi ni muslim, nimepitia NECTA, na nimepata matokeo tarajiwa ktk level zote, bidii tu ya kusoma pamoja na walimu. Hakuna miracle!
 
Ni vitengo gani nyeti wanataka? Hivi wabara wangapi wenye madaraka Zanzibar? Tujifunze kuelewa hata zile idara za muungano ni lazima apatikane mtu mwenye uwezo na sii ubara na uzanzibari tuu! Kama ulikimbia umande usisubiri fadhila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…