Dunia ilipofika patamu sana. "ukweli ukidhihiri uongo hujitenga".
Nilitaka kusema hii...Inaonyesha wewe ndio unampenda huyo demu.
Demu hana mpango na wewe kabisa.
Maji ya kisima hayo mkuu.
Tumeumbiwa mateso sisi wanaume.Nilitaka kusema hii...
Hapo penzi limeegemea upande mmoja.. na Mwanaume ndiyo anapenda....
Mwanamke anayekupenda hawezi kuwa na swagger za hivyo...
Hali ya uchumi pia mnatofautian ko nibora tu ungekaa kmy tu kakaPathetic,
Unaombwa 30,000 dunia nzima inajua. Kwanza 30,000 atanunua Nini maskini?
Wenzio wanahonga Land cruiser LC200 na hiyo Ni nyumba ndogo. Halafu wewe, kwa siku unatumia sh ngapi kwa matumizi yako binafsi?
Ningempata mwanamke anayeniomba kiwango kidogo Kama hicho ningemjengea nyumba mbili.
MkuuPathetic,