napita tuunaingia google then search wwitv kunbuka ni ww tu mbili sio tatu,baada ya hapo watakuletea option uinstal flash player yao,instal then tizama mechi live na mengineyo. Tumia airtel ndo ipo faster.
napita tu
unaingia google then search wwitv kunbuka ni ww tu mbili sio tatu,baada ya hapo watakuletea option uinstal flash player yao,instal then tizama mechi live na mengineyo. tumia airtel ndo ipo faster.
...unaelekea wapi..!?
mkuu vipi kwa bundle ya jero naweza ona game la man U?:target:unaingia google then search wwitv kunbuka ni ww tu mbili sio tatu,baada ya hapo watakuletea option uinstal flash player yao,instal then tizama mechi live na mengineyo. tumia airtel ndo ipo faster.