Unaweza kuangalia mechi za ligi zote kubwa kupitia laptop yako. Cha muhimu ni kuwa na reliable internet connection. Just visit wiziwig.tv and Enjoy!!!!
Hapo inatakiwa niwe na bando kiasi gani?
unlimited yenye kasi ya angalau 2Mbps
siku zote mi natwanga ???????-??: ?????? ? ????????? ????? HD na Semi HD mpaka raha.
Kama kawaida speed iwe 3-5 Mbps
kitu kikishakua torrent tu ujue sio live. hakuna kitu nsichopenda kama vile unaskia makelele watu wanashangilia halafu we unasubiri dakika nzima ndio unaona goli



siku zote mi natwanga ???????-??: ?????? ? ????????? ????? HD na Semi HD mpaka raha.
Kama kawaida speed iwe 3-5 Mbps
kifurushi cha jero kinatosha kweli, ngoja nijaribu, ikila kwangu................Inategemea, me natumia tigo ya jero kifurushi cha kujirudia
aina mzuka wowote unakuja kuona gori wakati watu wanatafuta goli la pili.
mr.kicheko,tafadhaaali hebu nisaidie hapa,hii net yenye kasi hivi tunaipataje kibongobongo?