Vladmir Putin
Senior Member
- Mar 14, 2016
- 131
- 63
Umenena kweli kabisa Mkuu..Kenya viongozi wao akili kubwa, achana na hawa majirani zao Kenya ambao rais wao hana hata sifa ya kuwa baba wa nyumba
Hahahaha na na pm anashangilia kisa kulinda madaraka! Jinga sanaUmenena kweli kabisa Mkuu..
Imagine Mkuu wa Nchi anatangaza kabisa hadharani kupiga Shangazi wa PM wake..
Watu wengine kaa wamelaaniwa vile.