Angalia jinsi mabloga walivyopewa vyeti na TCRA

Angalia jinsi mabloga walivyopewa vyeti na TCRA

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
20.jpg

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao huu wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza Septemba 17 huku yakiwashirikisha mabloger mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.
26.jpg

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao wa Bongo Celeblate, Jeff Msangi, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano.
25.jpg

Othman Michuzi, akipokea cheti.
24.jpg

Shamim Mwasha, akipokea cheti.
27.jpg

Cathbert Kajuna, akipokea cheti...
21.jpg

Dj Choka, akipokea cheti.
22.jpg

Maxence Melo, kipokea cheti.
28.jpg

Sinta, akipokea cheti.
1.jpg

Mmiliki wa Mtandao wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani (kulia) akiwa na mmiliki wa Mtandao wa Bongo Celeblate, Jaff Msangi, wakati wa semina maalum kwa wamiliki na waendeshaji wa mitandao pendwa Bloggers, iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA,

2.jpg

Mmiliki wa Mtandao wa Mbeya Yetu, Joseph Mwaisango, akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
3.jpg

Innocent Mungy wa TCRA, akizungumza wakati wa mafunzo hayo.....
4.jpg

Jestina george, akichangia mada
5.jpg

Jeff Msangi, akichangia mada.
6.jpg

Maxence, akichangia mada.
8.jpg

Mtoa mada, Liz wachuka, akitoa mada...
9.jpg

Sehemu ya waliohudhuria semina hiyo...
10.jpg

Mafunzo yakiendelea
11.jpg

Mike Mushi, wa jamii forum, akitoa mada
12.jpg

Mabloger, wakiwa makini kunasa kila kinachozungumzwa.
13.jpg

14.jpg

15.jpg

16.jpg

Mtoa mada, Dotto Kuhenga, akitoa mada
17.jpg

Mtoa mada, Pili, akitoa mada
18.jpg

19.jpg

picha ya pamoja baada ya mafunzo.​
 
No PARTY Affiliation here ??
 
19.jpg


Na wasi wasi na ubongo wa aliyepiga picha hii !
 
Wametakiwa watambulike kipindi cha uchaguzi watapokea amri kutoka juu, labda waihame nchi...kama watakwenda kinyume na matakwa ya watawala
 
ndo nani huyo?

NANYC MITIKISIKO-Anaelimisha jamii matumizi sahihi ya condoms za kike na kiume kiuhalisia katika suala zima la kufanya mapenzi salama bila kuoneana aibu na bila unafiki.
Kuna changamoto nyingi katika jamii yenye mtazamo hasi.
 
NANYC MITIKISIKO-Anaelimisha jamii matumizi sahihi ya condoms za kike na kiume kiuhalisia katika suala zima la kufanya mapenzi salama bila kuoneana aibu na bila unafiki.
Kuna changamoto nyingi katika jamii yenye mtazamo haki.

haya,weka linki ya blog yake nikazione..
 
Back
Top Bottom