Angalia hizi barabara

Angalia hizi barabara

Sijui kamati ishatengewa fungu kutoka wizarani kwa ajili ya upembuzi yakinifu,
Kiswahili kirefu jamani kama barabara! Janja tu hamna kitu hapa!!!!!!!!!!!
 
Mnawachagua wenyewe wakati wa uchaguzi halafu hamuishi kulalama. Just shut the f.......up
 
hizo ni ndoto, ukitaka kujenga flyover ubungo inabidi ufumue stand ya mkoa, ubungo maji, stand ya daladala, power stations zote, tanesco kitu ambacho hakuna atakae kuelewa.

Not necessarily kuvunja hivyo vyote ulivyovisema. Kuna fly over rahisi na ambazo hazichukui nafasi kubwa kihivyo. Nenda Nairobi uone jinsi Wachina walivyofyatua fly overs bila kuvunja majengo mengi wala kuharibu miundo mbinu waliyoikuta!!!

Tiba
 
naona hujawahi ona barabara wewe...ngoja nikuonyeshe...
death road 11.jpg death road 15.jpg death road 16.jpg death road 20 529.jpg death road 30 301.jpg death road 22 443.jpg
 
ukipita kwenye hizi roads lazima uwe maiti kwanza
 
serekali sikivu yenye maneno tuu na kupenda kupigiwa makofi... haitakaa itufikishe huko! hakuna mji hata mmoja wenye mpangilio mzuri chini ya sirikali sikivu! imeshazeeka tusitegemee kipya kutoka kwayo. Ifike mahali tufanye maamuzi magumu kama tunataka kusonga mbele kwa dhati...
 
Hata kwetu inawezekana ufisadi ukipungua kwa 50%. Maana sasa ni 100%.
Mabadiliko ndo kitakachotuokoa. Hawa CCM wanaoendesha nchi kwa mazoea hawatatupeleka popote...
 
zote hapo ni narobi kweli?...
naibo wap na wap....mkuu?

Unaweza usiamini, lakini hiyo ndio Nairobi ya mwaka 2013...!!!
Piga picha ikifika mwaka 2020 Nairobi itakuwaje...???
Hapo Kenya haina utajiri wa gesi, dhahabu, tanzanite, almasi, na ardhi nzuri kama TZ...!!
Je wangekuwa navyo hivyo vyote ingekuwaje .....??
Tanzania tumelala fofofo....!!!!!
 
substitute yake unaweza kufumua tu wizara ya maji, majengo yake ni ya chini ili kuokoa usifumue tanesco na mitambo yao upande ule...then zikajengwa vizuri tu.
 
Tatizo hatuna serikali iliyo series, hizo barabara za juu wala sio inshu kubwa sana basi tu, nimekuta fly over adis ababa na umaskini wao wanazo

I bet u meant "Serikali iliyo serious"!!!!!
 
Tulizeni boli wadau, serikali yenu tukutu bado imo kwenye mchakato wa kufanya upembuzi yakinifu na mambo yakikamilika tutawajulisha hatua tuliyofikia.
 
Back
Top Bottom