Magufuli si aliliambia bunge ktk budget yake ya mwaka jana ameshaanza kujenga barabara ya jut tazara? Cjui ishakamilika?
ha ha ha ha ha!chezea siasa kaka!!bajeti ya mwaka huu ndo amesema wametenga fungu la kuanza maandalizi!!!Magufuli si aliliambia bunge ktk budget yake ya mwaka jana ameshaanza kujenga barabara ya jut tazara? Cjui ishakamilika?
mkuu wala nchi siyo masikini!tunaweza kufanya yote hayo waliyo fanya Dubai ila...acha bwana nisije nkalia!!Ukitembea dubai barabara ni nzuri mpaka wajuta kwa nini nchi yetu maskini!
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
hizo ni ndoto, ukitaka kujenga flyover ubungo inabidi ufumue stand ya mkoa, ubungo maji, stand ya daladala, power stations zote, tanesco kitu ambacho hakuna atakae kuelewa.
hizo ni ndoto, ukitaka kujenga flyover ubungo inabidi ufumue stand ya mkoa, ubungo maji, stand ya daladala, power stations zote, tanesco kitu ambacho hakuna atakae kuelewa.
Tatizo hatuna serikali iliyo series, hizo barabara za juu wala sio inshu kubwa sana basi tu, nimekuta fly over adis ababa na umaskini wao wanazo
Serikali ya aina hii lazima itakuwa Umeme. Labda itakapokuwa "parallel" itaweza kufanya mambo kama hayo. LOLTatizo hatuna serikali iliyo series, hizo barabara za juu wala sio inshu kubwa sana basi tu, nimekuta fly over adis ababa na umaskini wao wanazo