umenikumbusha jamaa mmoja alimcheck kichaa amekazana kuendesha baiskeli iko kwenye stend,baada ya kama dk 10 akamwona ametulia ila hashuki akamfata akamuuliza 'vp mbona huendes..."
"pisha wewe niko kwenye mteremko..."
jamaa akaona aondoke zake.teh
nilikuwa siingiagi huku, kumbe kuna mambo? Sina mbavu asubuh yote hii, machizi noma.Wagonjwa wa akili walipanga jinsi ya kutoroka hospitali. waliamua wampige mlinzi, wamnyang'anye funguo, wafungue mlango, wakimbie. walipofika mlangoni hawakukuta mlinzi na mlango ulikuwa wazi. wakasema, "duh! mpango wetu wa kutoroka ushafeli!" basi wakaghairi