Hamna kitu zote zimegoma niko arushaKWA KING'AMUZI KIPI,CHA ANTENA ZA KAWAIDA AU UNGO?
Hii ni kweli mkuuJaribuni hizi code zitakupatia channel
kadhaa za bure; 650, 682, 714, 746,
778 Ingia Menu>System Settings>Search
channel>Manual search ingiza
mojawapo ya hizi code. Enjoy
mkuu mbna c yetu sehemu ya manual search hamnaJaribuni hizi code zitakupatia channel
kadhaa za bure; 650, 682, 714, 746,
778 Ingia Menu>System Settings>Search
channel>Manual search ingiza
mojawapo ya hizi code. Enjoy
mbona sehemu ya kuingiza cod siioni?Njooni c****ne**** kuna channel nyingi bure
mbona mi siioni sehem ya kuweka coddah zamani ndo ilikua safi ila siku hizi startimes wamegundua,yaan hata kama ukifanikiwa kupata hizo channeli baada ya muda wanazifungia.Frequency 682mhz ilikua inaleta itv,eatv,capital tv,clouds.Frequency 650 inatoa channeli za MBC(zote),channel 10,tbc na CAM,ktn n.k
mbona mi siioni sehem ya kuweka code?Jaribuni hizi code zitakupatia channel
kadhaa za bure; 650, 682, 714, 746,
778 Ingia Menu>System Settings>Search
channel>Manual search ingiza
mojawapo ya hizi code. Enjoy
Jaribuni hizi code zitakupatia channel
kadhaa za bure; 650, 682, 714, 746,
778 Ingia Menu>System Settings>Search
channel>Manual search ingiza
mojawapo ya hizi code. Enjoy