Angalia channels za startimes buree!

Hackerz

JF-Expert Member
Apr 25, 2016
352
235
Jaribuni hizi code zitakupatia channel
kadhaa za bure; 650, 682, 714, 746,
778 Ingia Menu>System Settings>Search
channel>Manual search ingiza
mojawapo ya hizi code. Enjoy
 
dah zamani ndo ilikua safi ila siku hizi startimes wamegundua,yaan hata kama ukifanikiwa kupata hizo channeli baada ya muda wanazifungia.Frequency 682mhz ilikua inaleta itv,eatv,capital tv,clouds.Frequency 650 inatoa channeli za MBC(zote),channel 10,tbc na CAM,ktn n.k
 
mbona mi siioni sehem ya kuweka cod
 
Jaribuni hizi code zitakupatia channel
kadhaa za bure; 650, 682, 714, 746,
778 Ingia Menu>System Settings>Search
channel>Manual search ingiza
mojawapo ya hizi code. Enjoy

Sasa hapa umetusaidia sisi Watazamaji au umewasaidia Mafundi Mitambo na Wamiliki wa StarTimes ili waweze kutupiga ' pini ' na tusipate huo ' mteremko ' wako uliotuwekea?
 
Back
Top Bottom