mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,293
- 9,226
Uchaguzi huu wa israel unapaswa uwe funzo kwa mboga mboga, Waarabu wa israel baada ya kunyanyaswa sana wameamua kuwa kitu kimoja na kupiga kura kwa uwingi wao, hali ambayo imevifanya vyama kama vya mboga mboga kukosa ule uwingi wa kuunda serikali na sasa pana taharuki kuu huko Israel, waarabu wa israel wamepiga kura ya chuki, funzo kwa mboga mboga endeleeni na ujinga wenu na hao akina Farisi jahazi limeshazama.Ni aibu kutumia trioni 1 kufanya chaguzi za kuua watu Kama anavyfanya Samia
Hebu cheki hapo wenzunuView attachment 3700195