Anga limechafuka

Mshana hebu tuambie, nimesikia mara nyingi kuwa serikali hailogwi! Je! Kuna ukweli hapo?
 
Sitaki unafiki wala kuishi maisha yasiyompendeza Mungu
 
Mshana hebu tuambie, nimesikia mara nyingi kuwa serikali hailogwi! Je! Kuna ukweli hapo?
Ukijua nini maana ya Serikali utapata jibu kwanini hairogeki...! Serikali sio object bali ni subject
 
Kimbilio letu ni Mungu kwa wale waaminio...na kama taifa inabidi tupitie haya tunayopitia
 
Kwa alichofanya mwanzo Wa mwaka kutafuta story ya kunyamazisha ishu Yake Na ikapatikana Na sasa story ndio hiyo kweli anga limechafuka
 
Mkuu nina omba kutoka njee yamada kidogo.
Nilitaka kuku uliza ivi wachawi nawanga huwa wana amini siku wakifa wanaenda wapi? .
 
Mkuu nina omba kutoka njee yamada kidogo.
Nilitaka kuku uliza ivi wachawi nawanga huwa wana amini siku wakifa wanaenda wapi? .
Wanapoenda wafu wote! Huo ndio ukweli
 
Mshana jr Unamuongelea January Makamba na Ombeni Sefue na vilaza vya ccm.
 
Ha ha ha ha asante kwa taarifa mkuu...

Hawalali kwa kipindi hichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…