Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

Poleni wafiwa,inauma sana ila Mungu.yupo atawalinda watu wake na hawatabaki salama lazima watubu.Naona huyu dada alikuwa ameolewa je Mume wake alikuwa wapi?sorry sijasoma post zote lakini naona hakuna mahali wanamtaja zaidi ya kwenye wasifu tu
 
Mie sio mpelelezi lakini huyu mme wake inabidi aisaidie polisi nimefatilia huu uzi inaonekana kuna makusudi kabisa ya kupoteza muelekeo kwa kuingiza msiba ulotangulia wa kaka yake na huu huyu dada ili wauaji watembee salama.. Polisi wachunguze sana mie karata yangu bado iko kwa ex husband.. Inasikitisha sana kukatisha uhai wa dada akiwa bado mdogo kabisa !! Inaumaa.. RIP Anathe.
 
Nimejikuta nalia

Poleni sana jamani! Mungu wa rehema na Neema awe faraja kwa wote walioguswa na msiba huu!

Lakini nawahakikishia yakuwa hao wauaji watakamatwa na kuadhibiwa mara 100 zaidi ya walichomfanyia Annette. Labda kama sio huyu Mungu tunaemwabudu. Tutamlilia Mungu na tutamuona upesi!

Nimeumia sana
 
How... Kuna mtu hakumpa mgao wake
Dhuluma za kibiashara...how...

Ndo wafanye ivi jmn
Ndio watu wana visasi sna na huko kny familia kuna mtifuano mkali juu ya mali za Erasto. Polisi waanzie kwa muuaji wa Erasto nn chanzo cha kumuua Erasto.familia inaishije baada ya kifo cha Erasto.Kwa nn Anathe ameuwawa na nani yuko nyuma ya mauaji hayo. Kwa nn H. Girl alitoroka kabla ya mauaji kutokea lzm kuna mpango kabambe uliopangwa na ni wa mda mrefu sio kitu cha ghafla.
 
I agree with you ni mambo ya mapenzi by 200%, mume wake wa ndoa akamatwe aojiwe na Kama ni kweli Annette alikua anatoka na mume wa mtu pia mke wa huyo mume wa mtu akamatwe abanwe
Jmn ht huyo mke wa mtu alietaka Anethe auwawe hakumfikuria yule mtoto? Inauma sn jmn watu sasa hivi hawafikirii kesho yao na kizazi chao kuwa itakuwaje wanawaza sasa hivi tu.
 
Na kwamba hataamka milele kwamba hatamuona tena kwanini dunia imejaa maumivu mengi kiasi hiki ?
b7910f27313f8b37dfb91552c8adcf53.jpg
Yote haya kwa sbb tumeweka mno tamaa za dunia na kumsahau mungu. Tamaa ya pesa.
 
Sijui kwa nini Mungu anaruhusu ukatili wa namna hii utokee.
ndio maana wengine walishashtukia hizi theory za Mungu na shetani hazi make sense whatsoever. Watu wanasema Mungu atawalinda wafiwa, Mungu unavyoona amekaa kama anaweza kulinda mtu kweli?

Tungepeleka watu nje kusomea forensic investigations na kuwekeza kwenye street cameras badala ya ku spend mabilioni kununua magari ya washa washa kupambana na raia.

Kwenye criminal adjudication tungeanzisha utaratibu wa plea bargaining kama nchi nyingine. Suspect akitaja wenzie au kinara wao wa kikundi unampa nafuu ya mashitaka au adhabu. Inasaidia kwenye uchunguzi na kujenga kesi.

Ma house girl hawa nao ingesaidia tukawa tunachukua ma profile yao yote kabla ya kumuajiri. Sasa hivi nchi nzima ingetumwa APB (All Points Bulletin) na picha kubwa mji mzima zingesambazwa kwenye mabango instead of mapicha ya Diamond na matangazo ya Tigo Cheka.

Vyombo vya habari navyo vingekuwa vinarusha marudio ya unsolved cases hata kama hakuna details nyingi zinazojulikana. Nchi za watu wanaonyesha vipindi vya mauaji ya miaka 10 iliyopita na mtu bado anatafutwa. Hii inamfanya pia mtu ajifikirie mara mbili kabla ya kuua. Hapa kwetu tukishazika tukasema marehemu harudi "Bwana Ametwaa.... Inna Lilahi..." tumefunga faili.
 
ndio maana wengine walishashtukia hizi theory za Mungu na shetani hazi make sense whatsoever. Watu wanasema Mungu atawalinda wafiwa, Mungu unavyoona amekaa kama anaweza kulinda mtu kweli?

Tungepeleka watu nje kusomea forensic investigations na kuwekeza kwenye street cameras badala ya ku spend mabilioni kununua magari ya washa washa kupambana na raia.

Kwenye criminal adjudication tungeanzisha utaratibu wa plea bargaining kama nchi nyingine. Suspect atakaejitokeza au kukamatwa kwanza akitaja vinara wao au wenzie unampa nafuu ya mashitaka au adhabu. Inasaidia kwenye uchunguzi na kujenga kesi.

Ma house girl hawa nao ingesaidia tukawa tunachukua ma profile yao yote kabla ya kumuajiri. Sasa hivi nchi nzima ingetumwa APB ya huyu mfanyakazi wa ndani na picha kubwa mji mzima zingesambazwa kwenye mabango instead of mapicha ya Diamond na matangazo ya Tigo Cheka.

Vyombo vya habari navyo vingekuwa vinarusha marudio ya unsolved cases hata kama hakuna details nyingi zinazojulikana. Nchi za watu wanaonyesha vipindi vya mauaji ya miaka 10 iliyopita na mtu bado anatafutwa. Hii inamfanya pia mtu ajifikirie mara mbili kabla ya kuua. Hapa kwetu tukishazika tukasema "Bwana Ametwaa.... Inna Lilahi" tumefunga faili.
Hakika binadamu wanekuwa wanyama mno hivi waliofanya hiki kitendo wanalala usingizi kabisa usiku au wavaweweseka ?Mtoto wa marehemu anahitaji ushauri nasaha na maombezi kwa savabu ile picha ya kumuona mama yake anaogelea kwenye dimbwi la damu na process yote ya kumkimbiza ndani ya nyumba.duh
 
Ukiangalia Crime and Investigation kwenye DStv,utagundua Hapa kwetu forensic science and Crime investigations hamna kitu.
 
nasikia yule house girl kakamatwa tayari mwenye taarifa zaidi mtujuze
 
Back
Top Bottom