Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Ushamba mzigo
Kwakuwa kafany mzungu ila angefany mwafrika ..........tungeanza kutoana akiliSio ushamba huo kaka bali ni ushabiki ulio tukuka.
Unakumbuka kuna jamaa hapa Tanzania alishawahi kuonesha hisia zake kwa kumkumbatia Kaka mchezaji wa Brazil.Mbona hakutolewa akili. Hata hivyo ukitaka kufanya tukio kama hilo lazima wewe mwenyewe kwanza ujitoe akili kwanza.Kwakuwa kafany mzungu ila angefany mwafrika ..........tungeanza kutoana akili