hivi vitabu tulisoma sisi wakati huo shule zikiwa shule siyo leo shule mara manaita skonga!Mimi Yanki......sema tu fundi wa vijimaneno !!!!
angemezwa kwenye papuchi na ufupi wake.... unachezea malimwenguInawezekana.....mbona mwembe mfupi lkn unatoa maembe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji23]
du kamanda uko active kinoma...I can bet wewe siyo wa Dar!Nimekuta nikitamani hiyo mipaja
Ana bebwa tu zen ana m kis kistailMkuu hapa jamaa hana options nyingine,imagine anakutana na demu mrefu anampigaje kisses.
HahahaAna bebwa tu zen ana m kis kistail
that's a good betdu kamanda uko active kinoma...I can bet wewe siyo wa Dar!
Wap weweNilisoma nao hao!
Hahahaah kweliYote kheri mkuu
Kizuri ni kitu ambacho ni cha wastani....kuIdi au kupungua yote ni shida
Huu sasa uchokozi wa makusudidu kamanda uko active kinoma...I can bet wewe siyo wa Dar!